Mwenye Wimbo ya Sam wa Ukweli maisha ni kupanda na kushuka

May 9, 2014
57
45
Jamani natafuta wimbo ya Sam wa Ukweli mwezi wa pili siipati inaitwa maisha ni kupanda na kushuka kiitikio chake "hawakujua maisha ni kupanda nakushuka
"hawakujua pesa maua
"kumbe mungu chibidu maisha ni kupanda na kushuka"
anaye ikumbuka please naiomba
 
Back
Top Bottom