Mwenye vitabu (pdf) vya PHP na python

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
21,532
34,909
Habari wana jf!

Nimekua nikitumia kitabu cha deteil cha java nimekipenda sana hasa kwenye kujifunza! Sasa kama kuna mwenye kitabu cha PHP kizuri tafadhali naomba anisaidie.
 
Njia nyingine ya kutafuta vitabu ni kuangalia zile recommendations za stackoverflow japo sijaona kama wame recommend vitabu ila vitabu vya C/C++ n.k kuna special list.

Mimi huwa nachukua jina nacheki amazon kitabu chenye Reviews nyingi sana maana kimenunuliwa zaidi na nasoma some ew comments then natafuta pdf/epub zake.

Mfano nimeona hiki Amazon product ASIN 0672329166
 
Habari wana jf!

Nimekua nikitumia kitabu cha deteil cha java nimekipenda sana hasa kwenye kujifunza! Sasa kama kuna mwenye kitabu cha PHP kizuri tafadhali naomba anisaidie.
Good evening/morning wewe.
How far in your learning curve today.
Did you give up or what...
 
Back
Top Bottom