Mwenye uzoefu ni bank gani hapa Dar naweza kwenda kulipia Visa kwa ajiri ya appointment US embassy?

Gwedu Gwedu

Member
Joined
Jul 14, 2025
Posts
24
Reaction score
11
Habari zenu Wana jukwaa,,,

Naomba msaada kwa yule mwenye uzoefu.Ni bank Gani hapa Dar(Tz) naweza kwenda kulipia Visa kwa ajiri ya appointment US embassy?

Au taratibu za kufuatwa ili niweze kulipia hiyo gharama kwa ajili ya mahojiano,nimeshajaza Ds 160 form,nipo kwenye hatua ya pili ya malipo ,Ila Nina fail na sijui ni bank Gani naweza fanikisha kulipia au kama ni kwa njia ya simu ni taratibu Gani nizifuate( kwenye simu) ili niweze kulipia hiyo gharama (Visa fee)

Tafadhali mwenye uzoefu na ujuzi a au aliyekwisha pitia hatua kama hii anisaidie. Nipo zero kabisa kwa hili,msaada wenu wadau wa Jf.
 
tumia nmb, kama kuna option ya kulipa kwa mastercard basi tumia visacard ya Mpesa wapo vizuri
 
tumia nmb, kama kuna option ya kulipa kwa mastercard basi tumia mastercard ya Mpesa wapo vizuri
Asante,,Ila sina master card,nipo zero kabisa naomba nisaidie hatua kwa hatua Cha kufanya,pia kama pesa ipo kwenye simu nifuate taratibu Gani ili utume
 
unatumia mtandao gani?
 
kama ni voda na unatumia app, nenda kwenye services then chagua visacard, jisajili utatumiwa card number cvv na expire date ambazo ndo utatukia kufanya malipo ukiona ni process ndefu tafuta card ya bank

ukiona huez kabisa nenda pale embassy security wakuassist au tafuta agent akusaidie
 
Natumia voda,
 
Habari zenu Wana jukwaa,,,

Naomba msaada kwa yule mwenye uzoefu.Ni bank Gani hapa Dar(Tz) naweza kwenda kulipia Visa kwa ajiri ya appointment US embassy?

Au taratibu za kufuatwa ili niweze kulipia hiyo gharama kwa ajili ya mahojiano,nimeshajaza Ds 160 form,nipo kwenye hatua ya pili ya malipo ,Ila Nina fail na sijui ni bank Gani naweza fanikisha kulipia au kama ni kwa njia ya simu ni taratibu Gani nizifuate( kwenye simu) ili niweze kulipia hiyo gharama (Visa fee)

Tafadhali mwenye uzoefu na ujuzi a au aliyekwisha pitia hatua kama hii anisaidie. Nipo zero kabisa kwa hili,msaada wenu wadau wa Jf.
Citi bank

Ova
 
Walikuwa na option ya kulipia kwa Airtel money. I'm sure bado ipo.
 
Habari zenu Wana jukwaa,,,

Naomba msaada kwa yule mwenye uzoefu.Ni bank Gani hapa Dar(Tz) naweza kwenda kulipia Visa kwa ajiri ya appointment US embassy?

Au taratibu za kufuatwa ili niweze kulipia hiyo gharama kwa ajili ya mahojiano,nimeshajaza Ds 160 form,nipo kwenye hatua ya pili ya malipo ,Ila Nina fail na sijui ni bank Gani naweza fanikisha kulipia au kama ni kwa njia ya simu ni taratibu Gani nizifuate( kwenye simu) ili niweze kulipia hiyo gharama (Visa fee)

Tafadhali mwenye uzoefu na ujuzi a au aliyekwisha pitia hatua kama hii anisaidie. Nipo zero kabisa kwa hili,msaada wenu wadau wa Jf.
NCBA Bank
 
Tunafanya visa applications, tupo Dar ila nitajitahidi ila unaweza kulipia kwa simu kesho nitakukol. 0680941469
 
Tawi lake naweza lipata wapi? Nipo bush mkuu,jazia nyama sio mwenyeji wa dat
Amani Place Branch
Amani Place, Ohio Street

Kijitonyama Branch
Bagamoyo Road, TTCL House
(Near Rose Garden), Dar es Salaam

PSSSF House Branch
Samora Street/Morogoro Road,
PSSSF Building, Dar es Salaam

Nyerere Branch
Nyerere Rd, Jamana House

Kariakoo Branch
Kariakor, Sikukuu/Aggrey Street,
Plot No. 71

Pia unaweza ukalipa kwa Airtel
 
Wnatumia mbona mm nmelipia majuzi kati....na sahv na sahv visa unasubiria kwa siku kadhaa na unaenda chukua passport yako DHL
Kuna option ya kulipia kwa airtel money lkn wakati mwingine mtandao miyeyusho

OVA
Basi watakuwa wameiongeza hii ya sasa. And yeah naona sasa hivi Passport hauifuati tena ubal9zini bali DHL au DHL wakuletee.
 
Back
Top Bottom