mwenye uzoefu na teknolojia ya Biogas

mwenye uzoefu na teknolojia ya Biogas

krwakatale

Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
22
Reaction score
1
naitaji sana kujua teknolojia hi.kwa yeyote mwenye uzoefu naitaji anisaidie coz nimesoma vitabu vingi bado practical tu ili nifanikishe lengo langu..kwa yeyote anaye jua au mtu anamjua anaye jihusisha na iv vitu plz my namba 0716512719..tuwasiliane
 
Nenda simgas changombe maduka mawili wana naweza kukusaidia ndio bishara zao hizo wana produce digester za biogas inayo tumia mabaki ya chakula,pia wanayo lingine linalo tumia kinyesi ch ngombe 0767746427
 
naitaji sana kujua teknolojia hi.kwa yeyote mwenye uzoefu naitaji anisaidie coz nimesoma vitabu vingi bado practical tu ili nifanikishe lengo langu..kwa yeyote anaye jua au mtu anamjua anaye jihusisha na iv vitu plz my namba 0716512719..tuwasiliane

Mpigie jamaa yangu kwa namba hizi 0754 524 198 na 0713 132 631. tumekuwa tukijenga wote fixed dome bigas digesters kwa muda mrefu na kama uko Dar zipo biogas systems tulizojenga ambazo unaweza kuziona.
 
Mkuu hizi biogas zina uwezo wa kupika chakula kwa masaa mangapi maana sie tuna kikundi cha watu 20 tunahitaji biogas nzuri

Vipi mbolea ya kuku inatumia??
 
Mkuu hizi biogas zina uwezo wa kupika chakula kwa masaa mangapi maana sie tuna kikundi cha watu 20 tunahitaji biogas nzuri

Vipi mbolea ya kuku inatumia??
Kuhusu idadi ya masaa, ni kwamba design ya biogas inafanywa kwa kutegemea matumizi/mahitaji yako, pamoja na uhakika wa chanzo cha malighafi yako (samadi). Kwa hiyo ukubwa wa system yako utategemea zaidi vitu hivyo. Mbolea ya kuku inaweza kutumika, ila uwe na chanzo cha uhakika cha mbolea hiyo, kwa maana yu kwamba kuwe na continuous supply angalau ya ndoo 1hadi 2 za lita 10 kila siku, kwa idadi hiyo ya watu uliyotaja. Kwa maelezo zaidi piga namba hizo nilizoweka.
 
Back
Top Bottom