Mwenye uzoefu na Online Stock trading system | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye uzoefu na Online Stock trading system

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Rich Dad, Aug 7, 2011.

 1. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Tafadhali aliyewahi kufanya business hii aliwa Tanzania alifahamishe jukwaa mambo yafuatayo: aliwezaje, security, ni website ipi aliyoyumia, what are the challenges, na profit margin yake ikoje?
  Na toa ushauri kama huu ndio wakati muafaka wa kununua stocks kutokana na kuanguka kwa masoko ya mitaji ulaya.
  Asanteni
   
 2. CONSULT

  CONSULT JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  niliwahi kuhudhuria hayo mafunzo kwa siku mbili hapa dar uliza DSE, sijawahi ku-trade online nachokumbuka lazima ufungue account kwa broker wa soko husika ndio utaweza.
  vile vile pana site unaweza kujifunza namna ya ku-trade online natafuta address ntaziweka hapa.
   
 3. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Thanks mkuu.
   
Loading...