Upande wa kipaji driving uzoefu wa supermarketkaribu sana... hapa MIAMI ipo kazi ya kutembeza CHUPI ufukweni..
pia maeneo ya CALIFORNIA...hapa kuna migahawa kibao unaweza ukapata kazi pia katika migahawa ya vyakula vya kiafrika.. sana sana mitaa ya magharibi..
UNA KIPAJI gani kwanza??
alafu swali lingine unamjua TRUMP-ET?
Trump namjua?karibu sana... hapa MIAMI ipo kazi ya kutembeza CHUPI ufukweni..
pia maeneo ya CALIFORNIA...hapa kuna migahawa kibao unaweza ukapata kazi pia katika migahawa ya vyakula vya kiafrika.. sana sana mitaa ya magharibi..
UNA KIPAJI gani kwanza??
alafu swali lingine unamjua TRUMP-ET?
Trump namjua?
Unaonaje hiyo 1500$ ungefungua DUKA ambalo ungeliendesha kwa umakini hadi kufikia hadhi ya SUPERMARKET?Upande wa kipaji driving uzoefu wa supermarket
Jamaica ni rahisi kuingia???Nenda jamaica, unahitaji Passport tu,
Unazuga hapo ndo badae unajiachia usa baby
Hajaomba ushauri wa kibiashara, anaulizia namna ya kufika USUnaonaje hiyo 1500$ ungefungua DUKA ambalo ungeliendesha kwa umakini hadi kufikia hadhi ya SUPERMARKET?
Hajaomba ushauri wa kibiashara, anaulizia namna ya kufika US
[emoji2] [emoji2] Tundu la choo Kama sikosei mkuuUNAJUA alituambia sisi WAAFRIKA akili zetu sawa sawa na NINI?
NDIO atafsiri huo msemo KWA MAKINI.. ndio awajue WAMERAKANI ni watu wa aina gani... namshauri asiende... abaki hapa hapa ajijenge kiuchumi.. siku akienda USA anenda kwa shughuri za KIBIASHARA na kupata GOOD TIME pale HAWAII..[emoji2] [emoji2] Tundu la choo Kama sikosei mkuu