Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,163
- 5,624
Usipende shortcut kwenye kujifunza ili ufanye jambo fulani. Soma kujifunza, mwanzo mpaka mwisho. Install Postgresql halafu ufuate tutorial hii: PostgreSQL Tutorial - Learn PostgreSQL from Scratchsawa kuu lakini naomba uje na mifano ya tables ambazo zinaonyesha hizo relationships,ningefurahi zaidi