Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Inauma na inatia uchungu na inajenga ubaguzi na haileti umoja wa kitaifa na ule uzalendo fake unajenga daraja kubwa la ubaguzi mbeleni
Kuna uwezekana mkubwa sana raia kujichukulia sheria mkononi kwa kuwa baadhi ya watu ni miungu watu hawakuswi zaidi kupandishwa vyeo.
Kama ndio iko ivi ni mangapi yatafanywa ili watu wapate hivyo vyeo?
Makonda kashfa tele ndo anapendwa, Gambo kachoma hadi shule nae kapanda cheo na mnyeti kashfa ya rushwa kapanda.
Inamaana hii serikali italeta umwagaji mkubwa wa damu.
Muda ni mwamuzi mzuri.
Jana alijitokeza kukiri kwa kuwa alishaambiwa anapandishwa cheo, kwa kiburi akibidi aseme wazi wazi. Kama mnakumbuka alitaka kuhojiwa akadai anaumwa jino.
Na hadi leo hajawai kuitwa wala kuhojiwa na tume ya maadili au takukuru