Mwenye uthibitisho kuwa Magufuli anapambana na rushwa auseme hapa, zaidi ya kuchochea na hawaguswi

Rushwa ni rushwa kama una assets kushinda mshahara lakini kughilibu watu waingie kwenye chama chako kwa kuwapa hela siyo rushwa. Kilichoonyeshwa jana ni "despicable impunity" haswa kwa watuhumiwa wawili kupandishwa vyeo akiwemo mkuu wa Wilaya ya Hai na mkuu wa wilaya ya Arumeru. Hivi nguvu ya raia kupambana na rushwa itatoka wapi kwa staili hii?
 
Wenye kisu wanakula nyama. Inabidi tubadili sentensi hiyo iwe. RUSHWA NI RAFIKI WA HAKI. Maana mambo yanavyofanyika sivyo ndivyo. Inauma sana.
 
Ni jambo la kushangaza sana kuona watu wenye hatia ndo wanapandishwa vyeo! na hili ni dhahiri kuwa mambo haya yanafanywa MAKUSUDI ili kuwakomoa wanaopaza sauti! wengi wametumbuliwa kisa vyeti feki sawa me sikatai wapo lakini ni DHAHIRI kwamba kuna visa vya kulipiza visasi kwa kutumia vigezo hivo! na kuna watu maalum wamelengwa na inavoonekana baada ya watu hao kutoonekana kwenye vyeti feki sasa wanatafutwa kwenye vigezo vya umri! wapo watu sasa wanaonekana kuwa juu ya sheria na wanalindwa kwa nguvu zote mfano MAKONDA na MNYETI! tukiongoza nchi kwa kukomoana na kulipiza visasi hakuna atakaepona!
 
Mfalme akitenda haki hata Mwenyezi Mungu humwinua zaidi,maadam mungu wetu mdogo hatendi haki atarajie kushushwa muda tu ndo utaamua
 
Unahonga madiwani na wabunge wa upinzani kwa mamilioni ya fedha, badae uchaguzi unarudiwa kwa mabilioni ya fedha...iko wapi dhana ya kupambana na rushwa hadi kuwa na mahakama ya mafisadi? nisaidieni kuelewa..
Mwenge. Ndio huo unatuleteae huzuni.
Isaya 50;11 Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika mwali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni.
 
Unahonga madiwani na wabunge wa upinzani kwa mamilioni ya fedha, badae uchaguzi unarudiwa kwa mabilioni ya fedha...iko wapi dhana ya kupambana na rushwa hadi kuwa na mahakama ya mafisadi? nisaidieni kuelewa..
Hakuna rushwa yeyote anayopigana nayo huyo anauejiita mzalendo feki asiyejua hata diction tu. Katika makelele yote anayopiga yeye anahubir mabaya ya wenzake tu ya kwake hataki gata yaandikwe achilia mbali kujadiliwa hembu tuambiwe kuwapa viongozi wa CWT maburungutu ya pesa ni nini basi kama sio njia ya kuwahonga na kuwanyamazisha?
Sishangai mana nahodha asiyejua bandari aendayo hapotei njia .. huyu nae hajui! Anambiwa watu wana maisha magumu yeye anaongea kwa dharau ati watu waweke grisi?
 
Back
Top Bottom