Mwenye uthibitisho kuwa Magufuli anapambana na rushwa auseme hapa, zaidi ya kuchochea na hawaguswi

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,867
Inauma na inatia uchungu na inajenga ubaguzi na haileti umoja wa kitaifa na ule uzalendo fake unajenga daraja kubwa la ubaguzi mbeleni

Kuna uwezekana mkubwa sana raia kujichukulia sheria mkononi kwa kuwa baadhi ya watu ni miungu watu hawakuswi zaidi kupandishwa vyeo.

Kama ndio iko ivi ni mangapi yatafanywa ili watu wapate hivyo vyeo?

Makonda kashfa tele ndo anapendwa, Gambo kachoma hadi shule nae kapanda cheo na mnyeti kashfa ya rushwa kapanda.

Inamaana hii serikali italeta umwagaji mkubwa wa damu.

Muda ni mwamuzi mzuri.

Jana alijitokeza kukiri kwa kuwa alishaambiwa anapandishwa cheo, kwa kiburi akibidi aseme wazi wazi. Kama mnakumbuka alitaka kuhojiwa akadai anaumwa jino.

Na hadi leo hajawai kuitwa wala kuhojiwa na tume ya maadili au takukuru
 
Usilo lijua ni usiku wa Giza, mlimchezea Sana kikwete na maigizo yenu kuharibia watu waliokua kinyume nanyi, Magufuli si wa kivile, Kila shutuma vijana wanaingia kazini kuchunguza Kisha kutoa Matokeo yasio Shaka.
Siasa maji taka hazina nafasi awamu ya tano, take care!
Jidanganyeni kujichukulia sheria mkononi muone Madhara yake, mtajuta kuzaliwa
 
Ukiwa na akili binafsi za kupepo lazima uone kila kitu usiku wa giza
 
Inauma na inatia uchungu na inajenga ubaguzi na haileti umoja wa kitaifa na ule uzalendo fake unajenga daraja kubwa la ubaguzi mbeleni

Kuna uwezekana mkubwa sana raia kujichukulia sheria mkononi kwa kuwa baadhi ya watu ni miungu watu hawakuswi zaidi kupandishwa vyeo.

Kama ndio iko ivi ni mangapi yatafanywa ili watu wapate hivyo vyeo?

Makonda kashfa tele ndo anapendwa, Gambo kachoma hadi shule nae kapanda cheo na mnyeti kashfa ya rushwa kapanda.

Inamaana hii serikali italeta umwagaji mkubwa wa damu.

Muda ni mwamuzi mzuri.

Jana alijitokeza kukiri kwa kuwa alishaambiwa anapandishwa cheo, kwa kiburi akibidi aseme wazi wazi. Kama mnakumbuka alitaka kuhojiwa akadai anaumwa jino.

Na hadi leo hajawai kuitwa wala kuhojiwa na tume ya maadili au takukuru
Kwani ulitakaje mkuu !! ???
 
Tanzania yangu!! Nchi yangu!! Unanitoa machozi!
Awamu ya tano niliiamini ni awamu ya kutetea wanyonge, kupinga rushwa na Ufisadi !!! Kumbe ni awam ya Mashetani na Wanafki wakubwa!!
Mda utafka tu, Nuru haiwezi changamana na giza Kamwe!! Chozi langu haliwezi dondoka bure!! Ipo siku tu!.
God bless Tz.
 
Safi sana Rais. Safu zinazidi kupangwa kwa maendeleo mubashara ya taifa letu. Kuna. Kunguni hapo anasema watu watachoka, kwa lipi? Watu kama wewe ni wachache mnoo hamfiki hata elfu tano. Na mkibisha jaribuni kuandamana muone, Mkuu hajaribiwi. Viva Magu, 2020-2025 tenaaaaaaa.
 
Hayo mambo yote yako mezani kwa Mr God nyie hamuwezi kuyajadili na kuyatolea maamuzi
 
35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom