Mwenye ushuhuda wa LIMBWATA!

Mwenye ushuhuda wa LIMBWATA!

Tena chukua tahadhari kabla ya hatari maana waganga nao hawalazi damu,asije akataifishwa na mganga
 
Kama unampa vitasa mpaka anaenda kwao, na huthubutu kuleta mwanamke mwingine, hilo ndo limbwata lenyewe.

Vinginevyo usingemruhusu arudi apo, na ungevuta kitu flani shombeshombe amaizing.
🙂🙂 kwa hiyo wife alishagusanisha nyaya kitambo! hapa ni mwendo wa short tu mwanzo mwisho!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom