Mwenye ushuhuda malipo ya 27,000 umeme mikoani

Mwenye ushuhuda malipo ya 27,000 umeme mikoani

Bagamoyo mkoa wa Pwani,

Kata ya Nianjema

Nimeweka umeme mwak jana mwezi wa 11 bei ni 27k tu. Haina longo longo hata kidogo.

Majirani zangu niliowakuta huko wote ni 27k
 
Mbona MDA mrefu Sana mikoani kote unakopita mradi wa REA,

Umeme ni elfu 27 tu
 
Nina mashaka Mleta mada kajichanganya uulizaji wake, kwa hiyo majibu atakayopewa hayatamsaidia.

Mana yake ni sawa na mtu anayeuliza Mazishi ya marehemu lini? Kumbe alitakiwa aulize maziko ya marehemu lini?

Kwa hiyo atajibiwa kulingana na swali lake na jibu atakayopewa ni sahihi Ila siyo lenye uhalisia.
 
Mkoani Mara Wilaya ya Serengeti Kata Ya Mbalibali,Nimeweka Umeme kwa 27k Japo Takrima Kidogo Ipo Ili Mambo Yaende Fasta.
 
Nina mashaka Mleta mada kajichanganya uulizaji wake, kwa hiyo majibu atakayopewa hayatamsaidia.

Mana yake ni sawa na mtu anayeuliza Mazishi ya marehemu lini? Kumbe alitakiwa aulize maziko ya marehemu lini?

Kwa hiyo atajibiwa kulingana na swali lake na jibu atakayopewa ni sahihi Ila siyo lenye uhalisia.
Hapana mkuu hiyo ni bei elekezi kwa mikoani ndio maana nimeliuliza walionufaika kama hujui hiyo ni bei halisi wawekee home wasilale giza huku elfu 27 unaipigia Savannah
 
Kibaha niliweka umeme mwaka 2019 kwa 27,000 kwa bei hiyo hiyo niliweka kwenye nyumba ninayokaa kwa hasira nikaweka na kwenye frem huko nje.

Mengine yaliwezekana enzi za rais wetu jiwe.
 
Kyerwa Kaisho pia tulipata umeme wa REA kwa 27,000 tu!
 
Back
Top Bottom