Mwenye ushuhuda malipo ya 27,000 umeme mikoani

Mwenye ushuhuda malipo ya 27,000 umeme mikoani

Nina mashaka Mleta mada kajichanganya uulizaji wake, kwa hiyo majibu atakayopewa hayatamsaidia.

Mana yake ni sawa na mtu anayeuliza Mazishi ya marehemu lini? Kumbe alitakiwa aulize maziko ya marehemu lini?

Kwa hiyo atajibiwa kulingana na swali lake na jibu atakayopewa ni sahihi Ila siyo lenye uhalisia.


Inaweza kuwa kajichanganya kweli.

Kuvutiwa umeme wa nyumbani ni 321,000
Kuvutiwa umeme wa 3face ni 912,000

Hiyo 27,000 sijui anaongelea nini
 
Back
Top Bottom