Mwenye ushahidi wa dhahiri juu ya ufisadi wa Lowassa aweke hapa hadharani! Tuache porojo!

Kati ya watia nia wanaoshambuliwa zaidi kwa propaganda mfu ni Lowassa. Kuna mambo mawili yanayomfanya ashambuliwe sana. Moja, ni utajiri wake na pili, ni watendaji wa 'business as usual'!

Karibu watia nia wengi (sio wote) waliojiotokeza CCM hadi sasa wamewahi kupatwa na dhoruba za kisiasa kwa namna moja ama nyingine! Lakini hili la richmond la Lowassa limekuwa ruba! Kwa maneno mengine richmond inafanywa moja kwa moja kama vile ni mradi wa Lowassa, kiasi kwamba Lowassa anapachikwa jina la fisadi japo hakuna ushahidi wowote ulio dhahiri!

Mwenye ushahidi wowote ule wa uhusika wa Lowassa kwenye ufisadi wowote ule hapa nchini auweke hadharani ili tukate mizizi ya fitna!
Ushahidi muulize ue mwenyewe, alisema angeweka kila kitu hadharani akala maneno yake mwenyewe.
 
Wivu na kuzidiwa kwa:-
-Team Membe,
Team Mwigulu,
-Team Makongoro na
-UKAWA (wao nao siku wamejoin kwenye siasa za makundi ndani ya CCM wakiwasaidia sana mahasimu wa lowassa ili kumwondoa Laingwani mapema asiigie kupambana na UPINZANI) Najiuliza yao nini?

mko wapi wenye chuki binafsi na LOWASSA LETENI USHAHIDI WENU JUU UFISADI LOWASSA UWEKENI HAPA HADHARANI.
 
Ndugu yangu utapeli nini hapo? Hiyo kampuni iliyoitwa ya kitapeli Richmond mpaka Leo ndio inayozalisha umeme na kutuuzia sisi, sasa hapo utapeli nini?
Hiyo mitambo used iliyoitwa ndio inayozalisha umeme mpaka Leo na tunaendelea kulipa tozo ile ile, mkuu wanasiasa sio wakuwaamini sana,

Mkuu kama mtu uliyepevuka fahamu kwamba maisha yako na ya taifa kwa ujumla yatakuwa mazuri kulingana na uongozi na viongozi safi utakaowaweka, Ngoja nikupe dondoo inji hii mzungu anaweza akaja hana hata mia akakopa hela bank zetu na kupewa bila masharti yeyote akafungua biashara/kuwekeza na kupiga faida ndefu kisha na analipa deni na kujipatia utajiri bila jasho. Likewise Richmond ilkuja bila hata mia akina Lowasa na Rostam wakasaidia mpaka ikapata mitambo kwa kodi za watanzania, mizengwe ikafanyika kampuni ikajirebland kuwa dowans na kukimbilia mahakamani serikali ya kifasadi ikapeleka wanasheria misukule tunashndwa kesi, mahakama ikaitakatisha richmond kampuni ya kitapeli kuwa downs na mahakama hiyo hiyo ilimtaja Rostam ndo ana power of artoney/mmiliki mwenye nguvu kisheria, rostam anavojua watz ni mafala downs kawauzia symbion, rostam huyo huyo na Apson leo wanakuja kutengeneza mikakati kuhukakisha mamvi anaingia ikulu watz mnapga vigelegele hivi nani katuroga sisi? Ndugu zangu tuondoeni huu utawala wa kipambuvu ama laa mambo mazuri ya ulaya mtaendelea kuyasikia na kuyaona kwenye video tu.
 
Kwani Lowassa kuwa mtumishi wa umma ni dhambi kua tajiri? watumishi wangapi wa umma, tena wa nafasi za chini kbs wanafanya na biashara na wanakuwa vzr kiuchumi? Richmond mnaikuza na kufanya as if ndo issue ya kumchamfua Mzee.
 
swadaktaa kabisa yanii. myself nimekuwa nikitafuta chanzo cha ufisadi wa lowassa cjakipata mpaka leooo imebidi nikae kimyaa coz dini yangu inanikataza kuongea kitu ambacho cna ushahidi nachooo. ahsante xna mleta mada utanisaidia nami kupata majibu ya ulichokiulizaaa
 
huyu ni mwizi tu hana tofauti na panya, panya anapokula parachichi ukakuta tundu ndio unamgundua dawa kuweka sumu, dawa ya mwizi huyu ni kukata jina
 
Hivi lile eneo alilokata pale kkkt mbezi beach akajimilikisha mnapajuwa? Huu uzi ni heri msingeuweka.
 
Kati ya watia nia wanaoshambuliwa zaidi kwa propaganda mfu ni Lowassa. Kuna mambo mawili yanayomfanya ashambuliwe sana. Moja, ni utajiri wake na pili, ni watendaji wa 'business as usual'!

Karibu watia nia wengi (sio wote) waliojiotokeza CCM hadi sasa wamewahi kupatwa na dhoruba za kisiasa kwa namna moja ama nyingine! Lakini hili la richmond la Lowassa limekuwa ruba! Kwa maneno mengine richmond inafanywa moja kwa moja kama vile ni mradi wa Lowassa, kiasi kwamba Lowassa anapachikwa jina la fisadi japo hakuna ushahidi wowote ulio dhahiri!

Mwenye ushahidi wowote ule wa uhusika wa Lowassa kwenye ufisadi wowote ule hapa nchini auweke hadharani ili tukate mizizi ya fitna!

Sawa ! ngoja tukauchukue kwa Mwakyembe. Tayarisha Hakimu na Mwendesha Mashtaka. TeamLowassa
 
Last edited by a moderator:
ni porojo za wanasiasa kama sitta,ni majitu yaliyokulia kipindi cha ujamaa ambacho mtu kuwa tajiri ni kosa,kipindi hiki serikali yenyewe inahamasisha watu wawe matajiri na wasake noti

dah umenifanya nicheke kwa sauti LOL hujui unaujua ujamaa?
 
Hatutaki mtu wakwenda kujifunzia biashara ikulu, Lowasa atosha.
 
Misibishane kwa mambo yasio na maana,anaetakiwa kudhibitisha hilo ni yeye mwenyewe Lowasa,Kama hakuhusika na Richmond,amtaje muhusika ili tumjue,sio Ana babaika tu,amtaje ili ajiweke guru,ukweli umuweka MTU huru.
 
Kwahiyo anaenda kufanya biashara !
Ipi sasa...... ya gesi au yakufua umeme ?

huyo makongoro hayo mabasi yake atamwachia nani akienda ikulu? Au ndo atakuwa anawahi kupiga debe kwanza ndo aende ofisini.
 
swadaktaa kabisa yanii. myself nimekuwa nikitafuta chanzo cha ufisadi wa lowassa cjakipata mpaka leooo imebidi nikae kimyaa coz dini yangu inanikataza kuongea kitu ambacho cna ushahidi nachooo. ahsante xna mleta mada utanisaidia nami kupata majibu ya ulichokiulizaaa

Mkuu hyo dini itafiti vzr, hv unahitaji ushahidi kujua kuwa lowasa ni mwizi??
Ok heb angalia watu wanaomzunguka, lostam, kalamagi, ngereja..

Unafaham edo anamake m150 per day kwenye kale kamkataba fake?? Ujue cc wtz cjui tukoje, vitu visivyo na faida ndivyo vinatumia mda mreefu kuchambua ila vyenye faida tunakuwa wazembe..

Edo ni fisadi, y tunamg, ang, ania???
 
huyu ni mwizi tu hana tofauti na panya, panya anapokula parachichi ukakuta tundu ndio unamgundua dawa kuweka sumu, dawa ya mwizi huyu ni kukata jina[/QUOTE/

Watanzania ni watu wa ajabu sana, yaani tumejiwekea wenyewe utaratibu wa namna ya kuwajua wezi, majambazi, wala rushwa e.t.c.....hivi ni MAHAKAMA ipi ambayo imemhukumu LOWASSA kwa UFISADI?
 
Kwa uhakika hakuna yoyote mwenye ushahidi kuwa lowasa ni fisadi,hata pilato aliwauliza mafarisayo walete ushahidi wa mabaya ya yesu hakuna aliyethubutu,lowasa ni kama yesu na atatukomboa watanzania mda sim mrefu
 
Back
Top Bottom