Omary_12
Senior Member
- Feb 11, 2018
- 136
- 105
Kila nchi ina aina na utaratibu wa uchaguzi wake tofauti na nchi za kiafrika kila kitu tuna copy kutoka magharibi....Urusi wanafanya uchaguzi bandia. kwa sababu mshindi alisha julikana.
Kila nchi ina aina na utaratibu wa uchaguzi wake tofauti na nchi za kiafrika kila kitu tuna copy kutoka magharibi....Urusi wanafanya uchaguzi bandia. kwa sababu mshindi alisha julikana.
Kibaraka wa wamarekani yule....Putin ameapa kula sahani moja na wasaliti wa nchi yao ya urusi...Hahaha...hapo sasa yani kile ni kiini macho Cha Uchaguzi
Putin sijui alikua anaogopa nn mpaka akaamua kumletea zengwe Alexei Navalny hadi kutolewa kwenye kinyang'anyiro
Mkuu samahani wapi nimehoji? Vitu vingine vinaeleweka huwa nachangia pale ninapoona mtu hajaelewa au anahitaji ufafanuzi. Labda utakuwa umenichanganya Mkuusasa kama unalijua hilo kwamba kila nchi inautaratibu wake wa kujiongoza, kwa nini unahoji aina ya demokrasia ya Russia inayotokana na kanuni walizojiwekea kisheria kwa mujibu wa katiba yao ya nchi !?
Nani atahangaika ku hack liuchaguzi sililo na mvuto?.Propaganda zao wenyewe tu ili ionekana west wapo concerned na uchaguzi wao.Russians vote in presidential election across 11 time zones
Update hizo hapo
====
Mfumo wa wa tume ya uchaguzi wa Russia washambuliwa na wadukuaji.