Hawa watu ni matapeli,mdogo Wang aliomba na kuchaguliwa ile Mara ya kwanza lakini tumefatilia hadi kwa mwenyekiti wa Mwanza community Mr Kahungwa kasema bado hawajatangaza kazi na hizo ofisi wanazojifanya ni Zao ni uongo tumefatilia kote,tafuteni kazi sehem nyingine acheni kupoteza mda,Zhao kina Pius Mwesiga ni wapuuzi, baada ya kuwaambia tumeujua ukweli wakazima na sim zao hawapatikan tena.