Mwenye update juu ya kesi ya hawa masheikh

Mwenye update juu ya kesi ya hawa masheikh

Baba wa Mapaka

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
1,826
Reaction score
1,660
Wakuu
Habari za usiku nimekaa na kuwaza sana juu ya hawa Masheikh wetu ambao tumekuwa tukiaminishwa kwamba uchunguzi wa kesi yao bado haujaisha

Je wachunguzi wa mambo
Kuna dalili yoyote ya hawa mabwana kushinda na kuchomoka kwenye kesi yao?
FB_IMG_1540751679771.jpeg
 
Mi nafikiri jamii kwa ujumla pasipo kuangalia itikadi/jinsia/kabila, jambo lolote la dhulma au unyanyasaji likitokea kwa mmoja wetu/kikundi cha watu, jamii kwa ujumla wetu yatupasa tupaze sauti.
Hayo ndio maneno...
Wale ni Masheikh nawafahamu lakini kwa hili hawakuongelea waislamu tu...M/M ungu atawafungulia njia InshaAllah
 
Ndio kwakuwa Watu kama Gwajima alishawahi zungumzia Muungano lakin mbona yupo Mtaani,vipi Gwajima angekuwa sheikh?
Labda aina ya uwasilishaji ilichangia..

Hasa huku kwetu!
 
Wakuu
Habari za usiku nimekaa na kuwaza sana juu ya hawa Masheikh wetu ambao tumekuwa tukiaminishwa kwamba uchunguzi wa kesi yao bado haujaisha

Je wachunguzi wa mambo
Kuna dalili yoyote ya hawa mabwana kushinda na kuchomoka kwenye kesi yao?View attachment 914348
Hawa wengi wao sio Watanzania bali ni wahamiaji haram kutoka Somalia na Uarabuni. Kikwete aliyajua haya ndio mana akawafunga. Hawa lengolao ilikuwa kuleta uislam wa kigaidi Tanzania na walishaanza. Nibora waendelee kukaa ndani paka aliyewatuma aombe msamaa.
 
Lete ushahidi

Back
Top Bottom