Baba Kapompo
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 1,344
- 468
Waungwana naomba muongozo wenu kwa yoyote anaye jua hii kampuni iitwayo ISON pale uchumi hivi wameiita watu au ndo magumashi maana nimeapply mda sana kimya chao kimekuwa kingi ..kwa yoyote aliyeitwa anijuze au ndo tumekula za uso
tupo busy tunawa audit kwa sasa
ila tumemaliza..nadhani week ijayo watakua free waanze kurejea kwenye usaili..
Samahan hawa ISON wana deal na nini?
Ison wanaajiri kila kukichaAcha uongo, hamna audit yoyote, kulikua na Zoezi la rationalization and re sizing, nadhan unaelewa hapo, Almost watu 140 wamepunguzwa kazi, Hawa walikua wakila mpunga mrefu kidogo, sasa wanataka kufungua madirisha na kuajiri kama kumbi kumbi... Hata kama una rafiki zako waambie wapeleke CV pale QC"fizikali"... Wataajiri watu wengi sana kwa sasa
Ila usiwazie maslahi sana ukitaka kuja ison, Welcome on board
I'm an astronaut and my next mission is to explore Uranus.
Wanapatikana wapi hawa ISON tujaribu na sisi
Jengo la Quality Center kituo kinaitwa mtava kama watoka tazara kwenda kariakoo
I'm an astronaut and my next mission is to explore Uranus.
Acha uongo, hamna audit yoyote, kulikua na Zoezi la rationalization and re sizing, nadhan unaelewa hapo, Almost watu 140 wamepunguzwa kazi, Hawa walikua wakila mpunga mrefu kidogo, sasa wanataka kufungua madirisha na kuajiri kama kumbi kumbi... Hata kama una rafiki zako waambie wapeleke CV pale QC"fizikali"... Wataajiri watu wengi sana kwa sasa
Ila usiwazie maslahi sana ukitaka kuja ison, Welcome on board
I'm an astronaut and my next mission is to explore Uranus.
Habari wana JF,naomba kujuzwa jinsi ya kuaply maombi ya kazi ISON
Pia uwe na sifa gani?
asanteni sana
Mkuu, nime audit iyo kapuni mwezi wa 6, na F.S nimeitoa juzi juzi hapa
naamini unaelewa nayo umuhimu wake..kama walikua wanaaibia mtajiju, ila shareholders kwa upande wao ndo wamepata going concern zao early this month
wakiamua kuajili ndo wataanza sasa ila sio kipind kile ambapo hawakujijua financial stand yao ina lie wapi