elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,760
Haiwezekani,mwenyew natamia iphone 4s ila Id cyo yangu ni ya mtu tena yupo china ila alinipa na password ubaya wake aki download kitu yeye adi kwenye cm yngu kinakuwepo
Haiwezekani,mwenyew natamia iphone 4s ila Id cyo yangu ni ya mtu tena yupo china ila alinipa na password ubaya wake aki download kitu yeye adi kwenye cm yngu kinakuwepo
Apple will never do that umesahau ID unaweza retrive via your email na mambo mengine maana kwa hali ya kawaida huwez sahau ID na email usahau basi itakuwa wewe simu si ya kwako.
Man kufungua icloud $50? You cant be serious icloud sio rahisi kihivyo watu simu tushazipeleka hata huko dubai tunaambulia patupu ila nalojua unaweza bypass icloud lock kwenye ioa below 8 na ukishai bypass itakuwa haisomi network inabidi uijailbreak na kuweka patch ya kuiforce kusoma network
Mimi nilishafungua yangu sikusimuliwa kijiweni,unachobisha ni nini !!!!!???
Ulifunguliwa na Apple? How?
Mbona mnaleta hadthi za abunuwasi hapa?
Na hadith zako ni za nani ??Adili na nduguze 😅😅
Mkuu pengine hatuelewani sababu tunaongelea vitu viwili tofauti
Kuna Screen lock(inawezekana) na kuna activation lock(haiwezekani)
Maadamu mwenzetu umefanikiwa tueleze basi ilikuaje?
Kama umesahau Password, kupitia Apple website unaweza tu kuirudisha iwapo utakumbuka na kuwa na access na njia mbadala ulizoweka kuritrive password yako lakini sio kwa kuwapa sijui risti ya manunuzi wala emei no then wao waifungue........HAKUNA KITU KAMA HII
Kuna jamaa iphone yake ilikua na screen lock na hana password kaliwa pesa kibao akadanganywa imetolewa icloud lock kumbe haikuwa hata na acc yoyote zaidi ya screen lock
Tuambie basi tupate ufumbuzi wenzio, yako ilikua iphone gani na ilikua ios gani? Maana isije ikawa ulikua na iphone 4 ios chini ya 8 hapo uwezekana upo anagalau
Mpaka sasa nshatudisha iphone za watu 12 sababu tumekosa njia ya kufungua, kila fundi atakwambia naweza ukimpa anatoa betri na kukuweke fake then anaanza sound, mmoja tukamuweka ndani wiki nzima
Tukahamia online, huko ndio usijaribu kabisaaaaa maana watakula hela na utaishia kupigwa sound tu na hujui hata utawapatia wapi
Ukitoa suluhu ya ulivyofanya mkuu ntapiga sana hela hata kama kutoa ni usd200
Vinginevyo itabaki ni hekaya za abunuwasi tu
Haiwezekani,mwenyew natamia iphone 4s ila Id cyo yangu ni ya mtu tena yupo china ila alinipa na password ubaya wake aki download kitu yeye adi kwenye cm yngu kinakuwepo
Nadhan jamaa anaongelea lock nyingine sio icloud jaman icloud ni deal kuliko hata carrier lock kama kuna wanaoitoa haiwezi kuwa 50$ na sijaona anayetoa icloud lock ya kuanzia ios 8xx tena kwenye simu za kuanzia iphone 5 mpaka 6+
jibu gani unataka ww? iphone 4 icloud inatoka na ipadDAH ADI LEO HAKUNA ALIEKUJA NA JIBU LA HILO SWALI...KWELI IPHONE KIBOKO
INATOKAJE MKUU NAOMBA UNIELEKEZE NINAYO IPHONE 4S INASUMBUA INAHITAJI KUINGIZA ACCOUNT YA MTUMIAJI WA MWANZO...NAE ALISHAONDOKA SINA ATA MAWASILIANO NAEjibu gani unataka ww? iphone 4 icloud inatoka na ipad
UNAJUAJE KAMA IMEKUWA REPORTED??mimi nakwambia kama haijawa reported inatoka..mร ana nina ushahidi na ninachokisema...ww kama upo nayo haijawa reported(blacklisted)bas niambie nikupeleke ikatolewe
Nina Iphone 5S nilinunus mtandaoni kumbe iko locked na Icloud. Sasa namna ya kufahamu kama imeripotiwa ni ipi mkuu?UNAJUAJE KAMA IMEKUWA REPORTED??