Nipe nadharia mkuu au link tu
Au na wewe unasikia!!!!!
Nataka kujua tu, kuna mtu ana iphone 6 plus anaitumia fresh tu ila ina apple id ya mtu mwingine
Uko version gani ya iOS tukutolee hiyo ID, au unataka "kufundishwa"?
Haijawa reported wapi mkuu?
4s kwenda juu simu ikikwama kwenye activation lock unapotakiwa kuweka Apple Id hakuna kitu unaweza kufanya so far
Prove me wrong mkuu
I stand to be corrected!!!!!!
Kaka nadhani ujamwelewa jamaa anachosema hii issue inawezekana kabisa.Pale nyuma ya simu kuna zile namba(IMEI) ukiziingiza kwenye system zitakupa full information ya mnunuzi wa simu hiyo mfano mnunuzi ni X aliinunua duka X tarehe X nk.Sasa kama hiyo Id umesahau kuna mtu atachukua hiyo namba(IMEI) iliyo nyuma ya simu na kuwasiliana na Apple kuwa mteja wangu amesahau Id yake Apple watachunguza na kuifungua,lakini kama mimi nimeibiwa hiyo simu na nikaripoti Apple maana yake haitawezekana kuifungua.Kwa Dar kuna jamaa anafungua kwa $170.Siyo lazima kumpelekea simu mpe tu IMEI namba.Hapa Dubai gharama ya kufungua ni $50 lakini kama wakigundua ni ya wizi.......
Iyo ni kwel hata mimi mwenyewe nimehangaika na iPhone 5s yangu nilinunua USA iko locked mpaka nikaongea na apple wenyewe wakaikataa wqkasema haiwezekani mpaka mwenye simu aifungue.
So haiwezekani iyo mambo kabisa.
Fundi ambae atakwambia anaweza kutoa iyo lock ujue aidha anataka tu kukulia pesa au anataka kukuchomolea bettry origino akuwekee ya kichina
Miye nina APPLE IPAD 4 naiona tu ka urembo. Hakuna chochote nimeweza fanya nayo, labda kupigia picha zangu tuu. Too sad tosay, nikikumbuka bei yake na upya wake
hizo cm zinatoka..ila unalipia euro kama 120..mm rafk yng aliuziwa cm mbili hapa znz cjui kam walipigwa wazungu au vp ila zimetoka lock..kuna fund mmoja anaitwa david ni maarufu yupo hapa znz anatoa vzr tuu..kama una mwenyeji huko mwambie nimpeleke ofcn kwake..na kasema kama kuna cm ina iclod account lakin haijawa reported nimpelekee