Sijui kama umepata taarifa sahihi mkuu.Nimesikia bei ya kilo moja ya Vanilla ni laki tisa hadi milioni moja. Kwa haraka haraka niona pesa ya Fasta Fasta.
Mwenye ujuzi wa namna ya uzalishaji wa zao hili naomba anipe uzoefu wake. Kuanzia uzalishaji,hali ya hewa,na changamoto zake. Asante.
Mwee! mbombo ngafu malafyale.Asante kwa maelezo.Vanilla ni zao linalohitaji uangalizi na ufatiriaji wa karibu sana katika kurihudumia mpaka mavuno, pindi likiwa shambani muda wa uchavushaji utatakiwa kufanya uchavushaji mwenyewe, siyo Kama mazao mengine ambayo yanajichavusha yenyewe kwa kutegemea upepo na wadudu Kama nyuki, kwa vanilla unafanya mwenye mmea badala ya mmea kwa kuchukua sehemu ya kiume unaikitanisha na sehemu ya kike. Pia baada ya mavuno Kuna posthaversting process Kama kuchemsha vanilla ndani ya maji kwa nyuzi joto 60c kwa dakika kadhaa, kuanika juani kwa muda wa siku kadhaa, hapo Kuna vitu maalumu vya kuhifadhia pale unapotoa juani ili kuhifadhi ili kesho uanike tena. Baada ya process zote hizo mwisho wa siku ndiyo utasaga ili kupata unga wenyewe. Mm nilipata fursa ya kuona kilimo chake kilivyo miaka mingi kidogo. Kipindi hicho nasoma Bukoba huko chuo Cha kilimo ndiyo maana nimetoa taarifa za juu juu. Ila kinachofanya vanilla iwe na bei kubwa ni ugumu wa kilimo hicho. 2015 bei kwa kilo Kama nakumbuka vizuri bei ilikua ni Kama 60000
Kwa haraka haraka niona pesa ya fastafasta.
Kwa TZ ukiondoa Bukoba ni mikoa gani inazalisha zao hilo au mikoa gani inaweza zalisha mi nipo Iringa.
Mikoa/wilaya ambazo hali ya hewa na ardhi inaruhusu kilimo cha migomba,kahawa,parachichi,Maeneo hayo Vanila inastawi,mikoa kama Mbeya,Morogoro maeneo ya milimani,Tanga kwa baadhi ya wilaya,Arusha,K'njaro,Dom kwa baadhi ya wilaya etcKwa TZ ukiondoa Bukoba ni mikoa gani inazalisha zao hilo au mikoa gani inaweza zalisha mi nipo Iringa.
Ni Iringa, Njombe, Kilimanjaro , ArushaKwa TZ ukiondoa Bukoba ni mikoa gani inazalisha zao hilo au mikoa gani inaweza zalisha mi nipo Iringa.
Mwee! mbombo ngafu malafyale.Asante kwa maelezo.
Sawa bosiKama ukihitaji miche ya vanilla karibu nikuhudumie.Tunapatikana SUA,horticulture,mche ni sh 5000
0719527062/0757056472
Kumbe ni kilimo kigumu kiasi hiki, nitaendelea kulima mahindi tu.Vanilla ni zao linalohitaji uangalizi na ufatiriaji wa karibu sana katika kurihudumia mpaka mavuno, pindi likiwa shambani muda wa uchavushaji utatakiwa kufanya uchavushaji mwenyewe, siyo Kama mazao mengine ambayo yanajichavusha yenyewe kwa kutegemea upepo na wadudu Kama nyuki, kwa vanilla unafanya mwenye mmea badala ya mmea kwa kuchukua sehemu ya kiume unaikitanisha na sehemu ya kike.
Pia baada ya mavuno Kuna posthaversting process Kama kuchemsha vanilla ndani ya maji kwa nyuzi joto 60c kwa dakika kadhaa, kuanika juani kwa muda wa siku kadhaa, hapo Kuna vitu maalumu vya kuhifadhia pale unapotoa juani ili kuhifadhi ili kesho uanike tena.
Baada ya process zote hizo mwisho wa siku ndiyo utasaga ili kupata unga wenyewe. Mm nilipata fursa ya kuona kilimo chake kilivyo miaka mingi kidogo.
Kipindi hicho nasoma Bukoba huko chuo Cha kilimo ndiyo maana nimetoa taarifa za juu juu. Ila kinachofanya vanilla iwe na bei kubwa ni ugumu wa kilimo hicho. 2015 bei kwa kilo Kama nakumbuka vizuri bei ilikua ni Kama 60000
Ni kigumu mno yani inabidi uwe umejipanga haswa.Kumbe ni kilimo kigumu kiasi hiki, nitaendelea kulima mahindi tu.
Tatizo masharti mengi sana.Ni kigumu mno yani inabidi uwe umejipanga haswa.
Ndiyo maana bei iko juu sokoni.Tatizo masharti mengi sana.
Umenena vyema sana kaka..N vyema tukapata pa kuanzia tena kutoka kwenye source inayoeleweka zaidiOtherwise naweza kusema hili zao ni fursa mpya sababu linasoko zuri
Na labda mkoa UPI linastawi vizuri. ABC za zao hili kama magonjwa n.k