Unataka kufanya nini?
Okay sisi hatufanyi hii kaziAnisaidie tuuze mm sijui sever inatumiwa na watu gani
Anisaidie tuuze mm sijui sever inatumiwa na watu gani
Umeitoa wapi ?
Duh hilo swali unavyouliza kama ameiba vile? Atakuwa anauza computer used labda ameona wateja hawaielewi, nimeshaziona baadhi ya maduka kariakoo hizo server.
huwa server zinauzwa bei rahisi kuliko computer hizi desktop, ukiichangua ukauza parts utapiga hela ndefu. Kama unaweza eka aina yake au kama una ujuzi zaidi sema inatumia processor gan, ram gb ngap, hdd nk
Inakuwaje unauza bidhaa ambayo hujui kazi yake?
Naomba mwenye ujuzi na hii sever system aje tuongee biashara
Naomba mwenye ujuzi na hii sever system aje tuongee biashara
Mkuu nakupa laki na nusu maana unaweza kukuta haifanyi kazi
Uko wapi wewe?