Second hand
Member
- Jan 20, 2013
- 72
- 7
Kuna jamaa humu jamvini alieleza jinsi ya kurudisha startv kwenye kisimbuzi cha startimes. Leo nimejaribu nimefanikiwa ingawa am too late but! Tatizo channel zinaonyesha but kuna ka-bango kameandikwa "NON-CONAX PROGRAM" katikati cha screen. PLZ... mwenye ujuvi na hizi mambo. NATANGULIZA SHUKRANI!