Mwenye Ujumbe kwa Invisible Robot mumuone GM

Golden Mpoleeee

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
572
Reaction score
206
alinitembelea nyumban kwangu toka juzi. Kwa bht mbaya ama nzuri kagundua mm ni IT mkali saana. Nampa mafunzo baada ya wk moja nitamuachia huru.

Golden Mpoleee doc mrajiwa. Mazuri na mpole.
 
naonana wiki 1 haitoshi hebu ongeze 2 awe mtaalam kama wewe
 
Mh,IT ZIPI?
Naona kampeni ya kutafuta Like za Invicible imeanza rasmi
 
Mwambie kuna memba anaitwa GM huku anasubua watu na asubuhi asubuhi.. Aje amuadabishe!!
 
wewe smile atakutoa roho. yaani wewe ndo unakitia kitumbua chake mchanga!!. Mia
 
My niece.... regards to you with Love..... :A S 465:
 
alinitembelea nyumban kwangu toka juzi. Kwa bht mbaya ama nzuri kagundua mm ni IT mkali saana. Nampa mafunzo baada ya wk moja nitamuachia huru.

Golden Mpoleee doc mrajiwa. Mazuri na mpole.

Mafunzo ya Kitandani? Drive safe arrive alive, ARV zimeisha Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…