muhala.jr
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 728
- 600
Habari wadau wa jf. Kumekua na shida ya watu kadhaa kuhitaji kufanya ufugaji wa samaki ila wanakosa mtaalamu wa kusimamia mradi mwenye uelewa wa ufugaji huo.hivyo kwa yoyote mwenye uhitaji wa mtaalamu kwa nia ya kumuajiri na kufanya nae kazi ya mradi huo wa fish farming.mtaalamu ni wa level ya degree ya aquaculture na uzoefu anaweza kufanya kazi mahali popote kama full time au party time katika maswala yote ya ufugaji kuanzia utunzaji wa samaki na utengenezaji wa chakula cha samaki. Alie tayari anaweza kunitafuta kwa namba 0717451771. Na maswali yote yanayohusu fish farming na ujengaji wa mabwawa na facilities zote za ufugaji pia yatajibiwa,.ahsanteni