Mwenye ufahamu wa dawa zisizo na madhara kwa mama mjamzito..

alexmahone

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
482
405
Ana ujauzito wa mwezi mmoja.,kichwa kinamuuma sana,anachoka,viungo pia vinamuuma.Anatamani kumeza dawa ila amekuwa na hofu maana hajajua dawa ambazo zitakuwa salama.
Amepima malaria hana.,mwenye ufahamu msaada wako tafadhari.
 
amepima malaria wapi huko wasimpe hata panadol,aende hospital ujauzito unahitaji care au uko kijijini no hosp
 
Ana ujauzito wa mwezi mmoja.,kichwa kinamuuma sana,anachoka,viungo pia vinamuuma.Anatamani kumeza dawa ila amekuwa na hofu maana hajajua dawa ambazo zitakuwa salama.
Amepima malaria hana.,mwenye ufahamu msaada wako tafadhari.

hiyo ni hali ya ujauzito inayochochewa na mabadiliko ya hormone usijaribu kumpa dawa bila ushauri wa daktari anywe maji mengi na apumzike sana hata kama angekuwa na malaria kuna dawa maalumu ya wajawazito wanapewa kliniki na kwa miezi iliyopangwa
 
Sio tabia nzuri ndugu zangu kupenda kunywa dawa bila ya kupata uhakika una tatizo gani.Dawa zote mnazoziana hapa duniani ni sumu isipotumika inavyofaa.Kwa hiyo ningemshauri aende hospitali iliyo karibu wakupime vipimo vingine pia ukiacha malaria halafu swala la dawa inayofaa kulingana na ujauzito litafuata.
 
Back
Top Bottom