Mwenye ufahamu, naomba anifahamishe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye ufahamu, naomba anifahamishe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shomari, Aug 8, 2011.

 1. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Nimekuta post kwenye Michuzi blog kwamba Meya wa Ilala Jerry Slaa a.k.a ''Dogo Janja'' kwamba amekabidhiwa Uraia wa heshima wa jiji la bozeman, Montana, Marekani. Nimeshindwa kuelewa hii ina maana gani!!:disapointed:.. ina maana ana Urai wa nchi mbili..au sio Mtanzania kabisa tunaongozwa na mmarekani? na hiyo Heshima amepewa kwa kufanya jambo gani?

  Bonyeza hapa


  Najua kuna wale wengine mtakulupuka, ila mimi natumia haki yangu ya msingi.
   
 2. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kunakuwa na urafiki baina ya miji Duniani na viongozi wake hupeana heshima ya uraia wa miji hiyo. Sio uraia wa nchi.
   
 3. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwa sasa TZ hamna sheria inayoruhusu kuwa na uraia wa nchi 2
   
Loading...