Mkuu, changamkia fasta huo uhamisho, coz kama we una malengo ya kilimo hapo ndo sehemu yenyewe, alizeti, mahindi, viazi ulaya, n.k. Zinastawi vizuri sana, sema ukifika msimu wa ukame utadhani ni jangwa ila masika yakifika ni neema, na mashamba yapo kwa wingi ya kukodi hata kama unataka heka zaidi ya 50 ni wewe tu.. Take the chance and experience it, usirudishwe nyuma na maneno ya watu.