khamis kilo
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 1,215
- 1,521
ukishaweka ID yako log in alafu hapa hapo restart simu yako
Ukirestart maana yake itajiwasha tena so wait ikiwaka tena, nenda apps store fanya mambo yako unayotaka.
Ukiona bado inakuzingua nenda kachek kama icloud yako bado inafanya kazi au imelala Apple - Support - System Status