Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,415
Kuna hii kitu nimeipenda muonekano, kama kuna mtu ana experience nayo naomba anielekeze quality yake na bei pia.
LG-LK72B SPEAKERS
LG-LK72B SPEAKERS
Mwenyewe nimeipenda, muonekano wake tu unaitaDaah, hili ukiungurumisha ndani hadi panya wanacheza