Mwenye uelewa zaidi kuhusu Walden university

Mwenye uelewa zaidi kuhusu Walden university

makaghari

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2014
Posts
544
Reaction score
530
Habarini za asubuhi wana JF.

Katika jitihada za kujaribu kutafuta namna ya kujiendeleza kimasomo, nilifikia uamuzi wa kutafuta walau chuo kinachotoa online Courses hasa kwa Second degree.

Katika pitapita zangu mitandaoni nikakutana na hiki chuo (Walden University). Ndugu zangu ningependa kusaidiwa taarifa zifuatazo ambazo zinaweza kunisaidia kama muongozo kuweza kujiendeleza kimasomo.

1. Je, chuo hiki kuna yeyote amewahi kujiunga nao na akahitimu masomo yake?
2. Nchi yetu inatambua vyeti ambavyo hupatikana kutoka katika mfumo huu wa e-learning hasa kutoka vyuo vya nje?
3. Ningependa kupata msaada wa taarifa zozote au vyuo vingenevyo ninavyoweza kupata masomo ya kimtandao katika kozi za Human Resource Management au Project Management.

Natanguliza shukrani.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa kwetu pangekuwa na taasisi zinazotoa kozi hizo kwa njia hiyo, nisingesita kujiunga.

Mkuu check Open University of Tanzania (OUT):Source OUT Prospectus 2016/17
3.3.2 PROGRAMME DELIVERY

MHRM by coursework and dissertation is offered in three different delivery modes, namely; distance, evening and executive modes. Candidates in the regions as well as those in Dar es Salaam who for one reason or the other could not opt for the evening or executive modes are advised to pursue the MHRM distance programme.

3.4 MASTER OF PROJECT MANAGEMENT (MPM)
3.4.1 INTRODUCTION
The Master of Project Management is a professional qualification that will provide a student with a sound educational platform for a career in project management. The programme aims to create reflective project management professionals, with enhanced knowledge competence and multiple skills.


Kuhusu kutanbuliwa kwa WALDEN UNIVERSITY-wasiliana na TCU
 
Hii Walden angalia wasije kukutapeli. Afadhali umeulizia. Ukikosa majibu hapa nenda TCU kwa uhakika zaidi. Usipuuzie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu check Open University of Tanzania (OUT):Source OUT Prospectus 2016/17
3.3.2 PROGRAMME DELIVERY

MHRM by coursework and dissertation is offered in three different delivery modes, namely; distance, evening and executive modes. Candidates in the regions as well as those in Dar es Salaam who for one reason or the other could not opt for the evening or executive modes are advised to pursue the MHRM distance programme.

3.4 MASTER OF PROJECT MANAGEMENT (MPM)
3.4.1 INTRODUCTION
The Master of Project Management is a professional qualification that will provide a student with a sound educational platform for a career in project management. The programme aims to create reflective project management professionals, with enhanced knowledge competence and multiple skills.


Kuhusu kutanbuliwa kwa WALDEN UNIVERSITY-wasiliana na TCU
Ahsante sana ndugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom