Mwenye uelewa naomba ufafanuzi kuhusu vigezo anavyotakiwa kuwa navyo mkurugenzi wa halmashauri

Hata afisa elim anakaimu ndg ilimrad ni mkuu wa idara yake....me nishashuhudia ded akiwa hayupo na afisa mipango hayupo basi afsa elim sekondari alikaimu
Nafkiri hujaelewa nlichomanisha, mimi nilipinga alysema kuwa kama DED hayupo wa kukaimi ni Afisa Elimu tu, ndo nkafafanua anyone Aliye Mkuu wa Idara anaweza kukaimu, ndo nkatoa na badhi ya mifano
 
Mmekariri mkuu yeyote wa idara ktk almashauri ni potential DED.kwasababu wote wanashiriki vikao vyote vya maamuzi ktk level ya manispaa/wilaya.
 
Back
Top Bottom