Navyoelewa mimi(yawezekana siko sahihi) cheo cha Mkurugenzi kwa miaka kadhaa iliyopita kilitolewa zaidi kwa watumishi wa uma walioonekana wanakidhi vigezo
Mfano Afisa mipango,Afisa ardhi nk walikuwa wanapandishwa na kuwa wakurugenzi
Utaratibu uliotumika sasa ni wa uteuzi wa kutoka juu moja kwa moja
Katika uteuzi huu kuna watu kadhaa wameachwa na hawa kabla ya kuwa wakurugenzi walikuwa watumishi katika nafasi kadhaa
Sasa naomba kueleweshwa baada ya kuachwa na mkubwa wanaendelea kuwa watumishi wauma? Na katika post zipi? Na wapi?
Au ndo wamesimamishwa jumla? Kwa sheria ipi ya utumishi wa uma?
Naomba mods msiunge huu uzi mpaka nijibiwe tafadhali