Mwenye uelewa naomba ufafanuzi kuhusu vigezo anavyotakiwa kuwa navyo mkurugenzi wa halmashauri

Baba yenu

JF-Expert Member
Jun 17, 2016
1,053
1,417
Navyoelewa mimi(yawezekana siko sahihi) cheo cha Mkurugenzi kwa miaka kadhaa iliyopita kilitolewa zaidi kwa watumishi wa uma walioonekana wanakidhi vigezo

Mfano Afisa mipango,Afisa ardhi nk walikuwa wanapandishwa na kuwa wakurugenzi

Utaratibu uliotumika sasa ni wa uteuzi wa kutoka juu moja kwa moja

Katika uteuzi huu kuna watu kadhaa wameachwa na hawa kabla ya kuwa wakurugenzi walikuwa watumishi katika nafasi kadhaa

Sasa naomba kueleweshwa baada ya kuachwa na mkubwa wanaendelea kuwa watumishi wauma? Na katika post zipi? Na wapi?

Au ndo wamesimamishwa jumla? Kwa sheria ipi ya utumishi wa uma?

Naomba mods msiunge huu uzi mpaka nijibiwe tafadhali
 
Mkuu hao walioachwa wanaendelea kuwa watumishi wa umma kulingana na proffession zao
Ila ndo wanarudi kwenye mabenchi ya ofisi za maRAS na maDED

Wengi wao huishia kupata sukari na BP
Duuuu! Kwahiyi kama alikuwa mwl ndo anarudi kushika chaki?
 
nakiona kisukari plus presure ileeeeeeeeeeeeeeeeeee kwa mbara inawanyemelea mliom pigwa chini!
 
Kwa uelewa wangu najua mkurugenzi hateuliwi na rais huteuliwa na katibu mkuu wa utumishi. Pili, it's not a political post ila sasa mwaka huu naona kimekuwa ni cheo cha kisiasa pia. Rais ana uwezo wa kutea mkurugenzi wa jiji na manispaa tu.
 
Kwa uelewa wangu najua mkurugenzi hateuliwi na rais huteuliwa na katibu mkuu wa utumishi. Pili, it's not a political post ila sasa mwaka huu naona kimekuwa ni cheo cha kisiasa pia. Rais ana uwezo wa kutea mkurugenzi wa jiji na manispaa tu.
Hapo ndo utata ulipo maana wakurugenzi ni watumishi wa uma
 
Asante kwa tusi lako. Mimi ni taahira katika ulimwengu wa nyama lakini ktk ulimwengu wa roho ninapeta kwa sababu ufahamu wangu hutawaliwa na kuongozwa na roho mtakatifu. Wewe uko mwilini ndiyo maanavufahamu wako unakimbilia matusi tu. Ninahitaji rehema za Bwana tu. Mungu akusamehe kwa kuwa wewe na wenzako hamuyajui muyatendayo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom