Mwenye uelewa na hili naomba anieleweshe

Zirconium

Senior Member
Joined
Feb 1, 2025
Posts
194
Reaction score
248
CRDB walikuwa na kongamano la kutoa elimu kuhusu Biashara pale mlimani city alafu mgeni rasmi I mean guest of honor ni Dominic Mmasi CEO wa room of jeans??

Kwahiyo sasa hivi paka Corporate entity nazo zinafuata trend. Trust me huyu mdau asinge trend kwenye hile interview lets impact millions aliofanya na Amri sally asingekuwa guest of honor hapo.

Now it’s official we are living in paradigm of trending. Algorithms are now running the boardrooms.
 
Ngoja waje....
 
Uendeshaji wa biashara umeshabadilika mkuu. Vijana hawataki zile mambo za kumleta mheshimiwa diwani na kuishia kuwaambia undeni vikundi mkachukue mikopo ya halmashauri. Kina Dominick, Niffer na kina Vunjabei kwa sasa wanasikilizwa na vijana wenzao kuliko hata baadhi ya mawaziri. CRDB wako sawa sana kibiashara.
 
Na niffer
Hao ni influencers sio wafanyabiashara
Kwanza hizo biashara za niffer sio za hiyo lifestyle anayoonesha aseme anatoa wapi hela
Una point sana.
Labda niulize ili ujaribu kuongezea kidogo:
Biashara anazozifanya, haziwezi kumuwezesha kuishi maisha anayojibrand nayo?
Emb nifafanulie.
 
CRDB walikuwa na kongamano la kutoa elimu kuhusu Biashara pale mlimani city alafu mgeni rasmi I mean guest of honor ni Dominic Mmasi CEO wa room of jeans??

Kwahiyo sasa hivi paka Corporate entity nazo zinafuata trend. Trust me huyu mdau asinge trend kwenye hile interview lets impact millions aliofanya na Amri sally asingekuwa guest of honor hapo.

Now it’s official we are living in paradigm of trending. Algorithms are now running the boardrooms.
Sasa wangemjuaje
 
Acha kupotosha umma, mgeni rasmi hakuwa yeye bali ni
 
Attachments

  • Screenshot_20261023_101818_Instagram.jpg
    Screenshot_20261023_101818_Instagram.jpg
    264.2 KB · Views: 1
CRDB walikuwa na kongamano la kutoa elimu kuhusu Biashara pale mlimani city alafu mgeni rasmi I mean guest of honor ni Dominic Mmasi CEO wa room of jeans??

Kwahiyo sasa hivi paka Corporate entity nazo zinafuata trend. Trust me huyu mdau asinge trend kwenye hile interview lets impact millions aliofanya na Amri sally asingekuwa guest of honor hapo.

Now it’s official we are living in paradigm of trending. Algorithms are now running the boardrooms.

Huyo jamaa ni philanthropist...
 
Uendeshaji wa biashara umeshabadilika mkuu. Vijana hawataki zile mambo za kumleta mheshimiwa diwani na kuishia kuwaambia undeni vikundi mkachukue mikopo ya halmashauri. Kina Dominick, Niffer na kina Vunjabei kwa sasa wanasikilizwa na vijana wenzao kuliko hata baadhi ya mawaziri. CRDB wako sawa sana kibiashara.

Hivyo tunaendeshwa na trending sio
 
Kila siku nasema kuwa economy umebadilika kutoka kwenye kuajiriwa hadi kujiajiri. Nikikuuliza saiz wenye ajira wanafaidika nini huna cha kuonesha.

Money is found on services, not offices
 
Back
Top Bottom