MaMals
Member
- Oct 31, 2013
- 46
- 8
Msaada wa mawazo wadau. Kuna bidhaa nilinunua Ebay kutoka U.S.A. Ikatumwa kupitia USPS toka tarehe 9..mwezi uliopita, bado nikitrack inaonekana ipo njiani. Nina Wasiwasi maana imechukua mwezi na siku 4. Msaada mwenye ujuzi; Standrad delivery kwa hawa USPS Ni siku lin?. Natanguliza shukrani.