Mwenye uelewa kuhusu CoNAS UDSM

Mwenye uelewa kuhusu CoNAS UDSM

Mr kilaja

Senior Member
Joined
Aug 21, 2016
Posts
111
Reaction score
68
Habarii zenu wakuu,nilikua naomba mnielezee kuhusu conas,pia kuna changamoto zp,nimechaguliwa hpo petroleum geology, asante
 
Hiyoo nzuri kaka na udsm pako poa elimu bora na ni chuo kinachofuatia kwa ubora kutoka sua
 
hongera sana..

kwa kuwa uko department ya geology basi shaka ondoa..cha msingi ukaze tu..

walimu wako poa sana pale japo kuna wazinguaji wachache lkn hiyo ni changamoto...

kaza sana sasa ivi GPA ndo mtaji dogo..

karbu ktk tasnia ya geology..
 
thank bro
 
CoNAS sio mahala pa mchezo mchezo kaka!!! Kapige tu msuli wa maana upate GPA nzuri ukilegea tu semester moja tu unaweza ukahairisha Chuo!!!
 
Back
Top Bottom