Mwenye uelewa kuhusu (BANK) BONUS ACCOUNT

Black7

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
367
115
Habar wana Jf.

Nahitaji kufahamu nimefungua BONUS Account ya NMB, wiki 3 zilizopita, Sasa nimepata matatizo je, naweza nikadroo pesa hizo kabla miezi mi3 haijafika, mana walinambia wanatoa Interest kila baada ya miezi mi3 lakin mimi sinashida na hyo bonus yao, nataka nitoe kiasi cha pesa then kingine ndo nikiache humo.

Je inawezekana kwa anaefahamu, nahitaj kujua kabisa nisijefunga safari ya mbali(kwenda hko benk) alaf kumbe haiwezekani, msaada.
 
Do sisi watanzania tuna matatizo sana, unaweka hakiba week 3 unaihitaji, sio issue kila account inakua na mashart yake rejea mashart ya account husika, nafikir urudi kwenye kibubu tu,
 
Mkuu nimepatw na matatizo dats y.. Naww Kuw mwelew bas
 
Nenda kwa manager wa benk husika mueleze tatizo lako, ataifungua akaunt yako na unaweza kutoa fedha, baada ya hapo ataifunga na utaendelea kuweka hakiba, ila hutopata ongezeko lolote ndani ya miez hii mitatu sababu umevunja mkataba, usiongee na customer care omba uonane na branch manager
 
Ah duu, em kidogo, kwani kudroo kwake sio kwa njia y kawaida? Au ni kwaajili natumia tu temporary id
 
Poa naona huelewek
Bob wew ndio sikusomi umesema inawezekana sasa suala la kuanza kumbembeleza Manager wa bank linatokea wap wakat pesa ni yangu?

Ok, nlochotak kufaham ni ipi sababu y kumfat maneja badala y kutumia njia ya kawaida
 
kaka akaunt ya muda maalum huwa imefungwa huwezi toa pesa dirishani wala ATM, Sio swala la kumbembeleza manager ila yeye ndo ana mamlaka ya kufungua akaunt yako baada ya kumueleza tatizo lako, kaka mi naona tafuta kibubu tu.
 
Nmekuelewa kk ila acha kejeli
 
H
Bob wew ndio sikusomi umesema inawezekana sasa suala la kuanza kumbembeleza Manager wa bank linatokea wap wakat pesa ni yangu?

Ok, nlochotak kufaham ni ipi sababu y kumfat maneja badala y kutumia njia ya kawaida
Hakuna haja ya kumuona manager ala customer care.Nenda moja kwa moja kapange foleni kuelekea kwa Bankteller utoe kiasi unachotaka ila ibaki si chini ya elfu 50 ambayo itaruhusu after 3 months tangu utoe hela kuendelea kupata faida.

Unaweza kutoa mpaka kubaki chini ya elfu 50,ila balance yoyote iliyo chini ya elfu 50 haitapata faida hata kama itakaa kwa miaka kadhaa.Natumai nimejaribu kuelewesha.
 
Back
Top Bottom