Mwenye taarifa za TAPELI hili tuwasiliane


vamda

vamda

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Messages
422
Likes
20
Points
35
vamda

vamda

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2012
422 20 35
Ndugu wana JF na watanzania wengine kuna TAPELI mmoja anayejiita Phinias Aloyce huzunguka mikoa na wilaya mbalimbali na kuwaibia watu kwa njia za udanganyifu akijifanya yeye ni mfanyakazi kutoka kampuni ya Nokia Ltd. Hivi karibuni TAPELI hilo lilipita kwenye shule za msingi na sekondari wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga na kuwatapeli walimu wengi kwa kuwauzia vizuia mionzi feki na kudai kampuni ya Nokia Ltd imeamua kuwakopesha walimu mkopo nafuu wa simu za nokia kwa muda wa miezi sita.

TAPELI hilo hutembea na nyaraka zenye jina la kampuni ya Nokia Ltd. Namba zake za mawasiliano ni: 0784 298085/ 0719 434700/ 0766 103008/ 0784 953914/ 0719 434699 na 0715 298085.

Mtu huyo ni mwongeaji sana, mnene, mweusi, ana kitambi, ana sura ya duara pia anaonekana ni mtu mwenye heshima kupitia mavazi anayovaa. Aliowaibia fedha wanapomfuatilia huwatisha kwa kuwaambia endapo wataripoti kwenye vyombo vya usalama fuatilia wataumia.

TAPELI hilo linatafutwa na polisi kwa jalada namba KHM/RB/3445/2013.

Mwenye taarifa kuhusu TAPELI hilo atoe taarifa kwenye kituo chochote cha polisi akitaja namba ya RB iliyotajwa hapo juu. Au apige simu zifuatazo: 0713 758165/ 0755 831576/ 0784 821973. Tushirikiane ili tuyaangamize MATAPELI haya.
 

Attachments:

BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
15,614
Likes
6,129
Points
280
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
15,614 6,129 280
Mhh vizuia mionzi,teknolojia mpya hiyo lakini hapo hujaeleza katapeli nini?maana umesema watakopeshwa simu na hiyo ya kuuziwa vizuia ni makubaliano maana hata dar wamachinga au kkoo tunanunua sana vitu feki
 
Mzee

Mzee

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Messages
13,438
Likes
3,514
Points
280
Mzee

Mzee

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2011
13,438 3,514 280
Kweli waalimu ni mteremko. Nimegundua kwanini zero zinaongezeka.

Anyway! Poleni wahanga.
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
32,848
Likes
15,352
Points
280
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
32,848 15,352 280
Ametumia fursa ambazo ruge anawahamasisha watu
 
Kingmairo

Kingmairo

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2012
Messages
4,973
Likes
1,239
Points
280
Kingmairo

Kingmairo

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2012
4,973 1,239 280
Hujaonesha connection ya maelezo yako na utapeli wake. Fafanua vizuri tujue utapeli wake ukoje.
 
kashesho

kashesho

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Messages
4,964
Likes
1,273
Points
280
kashesho

kashesho

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2012
4,964 1,273 280
ukiona manyoya.......
 
fourtypercent

fourtypercent

Member
Joined
Jun 4, 2011
Messages
53
Likes
3
Points
0
fourtypercent

fourtypercent

Member
Joined Jun 4, 2011
53 3 0
jamani walimu si wanalalamikia masilahi duni? mbona wachezea hela?, au za twisheni...... :heh::heh::heh::heh: :heh::heh: :heh:
 
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Messages
14,360
Likes
9,998
Points
280
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2011
14,360 9,998 280
Wakuu,

Tuache mzaha wale wenye taarifa watoe kesho atalizwa mama yako huko kijijini au shangazi yako acheni utani.
 
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Messages
15,375
Likes
6,403
Points
280
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2011
15,375 6,403 280
Kwi kwi kwi !
Unaposema walimu ni mtelemko una maana
gani Mkuu ? Pole pole jamani.
 
Yericko Nyerere

Yericko Nyerere

Verified Member
Joined
Dec 22, 2010
Messages
16,629
Likes
5,585
Points
280
Yericko Nyerere

Yericko Nyerere

Verified Member
Joined Dec 22, 2010
16,629 5,585 280
Hujasema katapeli nini?

Maelezo yako yanaonyesha jamaa ni mfanyabiashara ya vizuia mionzi na anawauzia walimu,

Sasa sijakuelewa jamaa ni tapeli vipi?

Fafanua zaidi
 
stroke

stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Messages
16,965
Likes
9,964
Points
280
stroke

stroke

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2012
16,965 9,964 280
waalimu jipangeni, maana kuna kesi nyingi tu za utapeli katika mashule, hasa hasa issue za mikopo zimekua zikiwaumiza sana waalimu, kuweni makini japo kidogo
 
S

Swat

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
4,194
Likes
108
Points
160
S

Swat

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
4,194 108 160
Fursa fursa fursa fursa....hizo. Na nyie mjipange na muwe mnajisumbua kurafura maarifa kidogo. Unauziwa kitu hata kujisumbua kutafuta habari kidogo za huyo muuzaji au hiyo bidhaa haujisumbui! Ha!
 
stata mzuka

stata mzuka

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2012
Messages
4,848
Likes
252
Points
160
stata mzuka

stata mzuka

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2012
4,848 252 160
Wakuu,<br />
<br />
Tuache mzaha wale wenye taarifa watoe kesho atalizwa mama yako huko kijijini au shangazi yako acheni utani.
Kwa mujibu wa kichwa cha habari na maelezo yake bado hatujaona huo Utapeli wa huyo jamaa.
 
morphine

morphine

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2012
Messages
3,093
Likes
360
Points
180
morphine

morphine

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2012
3,093 360 180
Labda utapeli wa kuwakopesha hivyo vizuia mionzi bila kuchukua pesa zao...hehehehe
 
M

mwita ke mwita

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2010
Messages
6,819
Likes
1,967
Points
280
M

mwita ke mwita

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2010
6,819 1,967 280
FBI watuchoree picha, ya huyu mtuhumiwa
 
vamda

vamda

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Messages
422
Likes
20
Points
35
vamda

vamda

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2012
422 20 35
Ndugu wana JF na watanzania kw jumla kuna mtu mmoja anayejiita Phinias Aloyce anatafutwa na polisi kwa jalada namba KHM/RB/3445/2013 kutokana na tuhuma za kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu wilayani kahama. Mtu huyo anayejifanya ni mfanyakazi wa kampuni ya Nokia Ltd akiwa na nyaraka zenye jina la kampuni hiyo, hivi karibuni alipita kwenye maofisi mbalimbali zikiwemo shule na kuwaibia watu kwa kuwauzia vizuia mionzi feki. Pia aliandikisha majina na kukusanya fedha nyingi kwa ahadi ya kuwaletea simu kutoka kampuni iliyotajwa lakini mpaka sasa zaidi ya mwezi mmoja umepita hakuna mawasiliano yeyote na simu zake zote amezima. Namba zake za simu ni: 0784 298085/ 0719 434699/ 0766 103008/ 0784 953914/ 0719 434699/ 0715 298085. Mtu huyo ni mwongeaji sana, mnene, mweusi, ana kitambi, ana sura ya duara, umri wake unakisiwa kati ya miaka 45 hadi 55, anaonekana ni mtu wa heshima kupitia mavazi anayovaa. Yeyote anayemfahamu mtu huyo atoe taarifa kwenye kituo chochote cha polisi akitaja RB iliyoandikwa hapo juu ili atiwe mbaroni mapema. Au wasiliana nami kwa namba 0713 758165/ 0755 831576/ 0784 821973.
 

Attachments:

Kitumbo

Kitumbo

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2010
Messages
550
Likes
11
Points
35
Kitumbo

Kitumbo

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2010
550 11 35
Du! Poleni...lakini pia tunatakiwa kuwa waangalifu, tuache tabia ya kununua vitu mikononi na kwa ahadi wakati maduka yamefurika. Huu ni wakati wa kutumia akili kufikiri badara ya kutaka watu wafikiri kwa ajili yako!
 

Forum statistics

Threads 1,273,858
Members 490,528
Posts 30,493,698