Hivi zile ajira za NSSF zilizokua zinahitaji operation officer zilizotangazwa mwez wa sita vipi bado tu hawajatoa majinawatu waliochaguliwa kwa ajili ya usaili au nipo outdated msaada jamani humu jamvini.
Kama Wewe Ni Wa Kusali Ijumaa UTAPATA Tena Kiurahisi Hapo ILA Kama Wewe Ni Wa Jumapili au Jumamosi SAHAU! Rama Dau Ni MDINI Mno Tena Hafichi Na Kwa Uhakika Zaidi Ulizia Kwa Walioajiriwa Hapo. Ni UDINI KWA KWENDA MBELE.