Mwenye swali lolote kuhusu water institute(WI) unakaribishwa

iv wwe unajua graduate msote tunaopitia mtaani baada ya kumaliza hpo chuo au unaongea tu,unazungumzia kujiajiri how mtu wa water resource anaweza kujiajiri?acha siasa wizara ya maji ina siasa nyingi hamna vitendoo.....maliza chuo ndo utajua nnacho maanisha
 
Kwa taarifa nilizozipata ni kuwa next year ndio chuo kinatoa tunda la kwanza kwa upande wa degree...
Sasa mkuu hebu tufafanulie hao wanaosota huko mtAani ni akina nani...(excluding diploma students)...
NB:-Usitumie nguvu,hasira wala kinyongo kutoa maelezo maana tunaouliza tunataka kujua coz ndio tunaelekea huko
 
why excluding Diplom?iv unajua kua huku mamlaka za maji watendaji wengi ni diploma?sasa ndo nnaozungumzia....wewe unazungumzia uhakika wa ajira kwa first batch graduate wa mwakakn wakati haujui hali itavokuwa pindi watakapomaliza?...lets be specific kuwa wizara yetu ina siasa na siyo realite kaka.
 
kama diploma wana sota mtaani leo ao wa bachelor itakuaje? Ikumbukwe kuwa diploma ndio wenye nafasi kubwa ya ajira kuliko digree(usiniulize kwanini) leo kama diploma wana sota nyie wa digree itakuaje. Bora tuseme tu kupata ajira ni game tu labda uwe umesoma education/afya.
 
Best answer... I have got an idea...kumbe diploma mpo wengi ndio maana mnasota kitaa...

By the way..kwani ni factor gan zinazotumika au mtu akizifikia hupata ajira bila tabu...????

NB;-Cjui kitu naomba unieleze kinagaubaga unavyoelewa wewe
 
kama diploma wana sota mtaani leo ao wa bachelor itakuaje? Ikumbukwe kuwa diploma ndio wenye nafasi kubwa ya ajira kuliko digree(usiniulize kwanini) leo kama diploma wana sota nyie wa digree itakuaje. Bora tuseme tu kupata ajira ni game tu labda uwe umesoma education/afya.
....najua kwanini umesema nisikuulize COZ huna uhakika na ulichosema....
My take:-tusubiri watakao maliza mwakani tuone mwisho wao utakuwa nini....

Alafu hapa tupo kwaajili ya kuelimishana on different aspects sasa unapojua kitu alf ukakaa nacho mwenyewe bila kuwajuza wenzako ni "choyo cha maarifa"
 
ckia boi,kama kweli upo chuo maji au umekuwa admitted pale chuo maji upo katika chaguo stahik,hoja yangu mm ni kwamba hakuna mfumo rasmi wa ajira kwa wizara ya maji......sasa uliposema ajira zipo,ukanishtua kdgo.
 
Poa big asante kwa kunipa moyo coz niliweka first priority baada ya kushauriwa kuachana na mechanical engineering ILA naomba kukanusha kuwa mimi sijasema ajira zipo za kuTosha
 
majina ya waliochaguliwa (WI) degree
 
Attachments

  • 1475154437-bachelor degree first round 2016-17.pdf
    195.2 KB · Views: 146
Poa big asante kwa kunipa moyo coz niliweka first priority baada ya kushauriwa kuachana na mechanical engineering ILA naomba kukanusha kuwa mimi sijasema ajira zipo za kuTosha
Kwanini walkushauri uachane na Mechanical engineering..??
afuu wee jmaaa si ulkuwa unaomba ushauri kuhusu mech ya DIT au ya COET ukasema ndgu yako kmbe ni we mwenywe
 
iv wwe unajua graduate msote tunaopitia mtaani baada ya kumaliza hpo chuo au unaongea tu,unazungumzia kujiajiri how mtu wa water resource anaweza kujiajiri?acha siasa wizara ya maji ina siasa nyingi hamna vitendoo.....maliza chuo ndo utajua nnacho maanisha
Wengi hawatakuelewa mkuu maana bado wapo shuleni ila wakigraduate tu ndo watajua vzur
 
Back
Top Bottom