Mwenye suluhu ya uume mdogo (kibamia) kwa njia za asili aokoe jahazi la walio wengi

Tatizo tunatahiri watoto wakiwa wadogo sana kwa kisingizio cha UTI wakati hawapo tayari kufanya mapenzi.
 
-Joto kupungua ukeni na majimaji mengi kutokana na kutumia baadhi ya kemikami za vipodozi kunafanya wanawake wengi kutoridhika na kufika kwa wakati. Lakini hii pia imefanya wanaume wengi kutofika mishindo mingi,kutokana na ubaridi wa nyeti za kike. Hapa ndipo uume hunywea hasa wakati wa kurudia.
-Kibamia ni neno lilaloweza kukuathiri kisaikolojia hata kama una uume unaoweza kumtoshleza mwenzi wako
-Kutojiamiani kuwa una uwezo wa kumridhisha mwenzi wako kunakufanya ushindwe hata kabla ya mechi na haijaanza.
-Tibu akili kabla hujafikilia kutumia dawa. ongeza michezo kabla ya tendo la ndoa.na muandae mwezi wako kisaikolojia siku unapokutana nae ili aridhike,na uridhike.
-Kuacha kutazama picha za utupu (kunafanya akili yako kuwa active kwenye tendo la ndoa tofauti na wengine wanaoamini kunaleta hamu)
-Picha za ngono huleta Overexcitement inayowafanya wanaume washindwe mechi ya pili.
-Kama uume utasinyaa kutokana na punyeto basi, uume hauwezi kutanuka vizuri damu inapoingia hasa mwanaume anaporudia mshindo. hapoo uume huwa unakuwa mdogo na mwanaume anaweza akatamani kuweka hata jeki ilimradi aendee lee. wakati mwanamke akiwa anaonesha mbwembwe zake na mate yakimtoka mwanaume kwa kuwa ameshindwa kumalizia mfupa.
(JIAMINI UNAWEZA,KUWA NA ANAYEKURIDHIA MAUMBO YAKO,USIPENDE KUANGALIA NYETI ZA WANAUME WENZAKO/WANAWAKE KUPITIA FILAMU ZA NGONO)
 
Utatapeli wangapi ndugu yangu! Utamtapeli mmoja atawaambia wengine juu ya huo utapeli halafu nini kitafuata? Kwa hiyo ni mtu na mtu ingawa pia matapeli ni wengi sana.
Hapa matapeli wamejaa, unakuta mtu ana account zaidi ya sita.
 
Labda kama huna hela ndo kibamia kitakuwa na shida. Au kabisa hakina nguvu.
 
Shida siyo kwamba watu hatutaki kutoa misaada kwa wenye hali kama hizo. ishu ni kwamba nyinyi mpo na utayari wa kiasi gani..

watu mpo katikati ya mashaka,,hujui humuamini nani na nani usimuamini. hapa tukisema dawa ipo utaipata kwa utaratibu wa kuchangia kiasi kadhaa au labda uambiwe njoo dm basi utahisi unaenda kutapeliwa. na watu wataanza kuku pump hapa hapa.

wengine mnataka dawa za kunywa leo na kupona kesho jioni. mnachekesha sana !
mtu una tatizo la muda mrefu. wengine wameathirika na PUNYETO na video za ngono kwa miaka kibao halafu unataka upewe dawa ya maajabu ya kusolve hilo tatizo kwa masaa machache...mtaendelea kupigwa.

mtu ukiambiwa lipia kiasi fulani utengenezewe formular utakayoitumia kwa miezi miwili mfululizo unaona ni utapeli..endeleeni kutafuta vya bure kama vipo.

wengine mnapewa formular kwa maelekezo ya kuacha kabisa PUNYETO na video za ngono lakini hamuachi mnataka muendelee kutumia hizo formula huku mkiendeleza hizo ishu za PUNYETO..hautapona hata iweje !

kama unauhitaji muombe Mungu akuongoze sehemu sahihi ya kupata suluhu ya hicho kinachokusumbua.
Swadakta!!! Umegusa mfupa sahihi..
 
Kuna nyuzi nyingi sana zimeanzishwa humu watu wakiomba msaada wa kusaidiwa kuondokana na tatizo la uume mdogo. Lakini hakuna hata msaada zaidi ya kukejeliwa na kuchekwa...

Kuna walio na tatizo hilo toka wadogo na wengine kujikuta uume unasinyaa ukubwani... Watu wanasema apime ukiwa umesimama, nami nasema ukikiangalia kidole chako cha mwisho cha mkononi ndo urefu halisi wa hivyo vibamia vikiwa vimesimama imara

Sasa wenzetu wanavyoomba msaada tuwe tunawaelewa na kuwasaidia upatikanaji wa hizo dawa na si kumcheka au kukejeli

Basi wale wanaoweza kusaidia tiririkeni hapa watumie nini au kuna dawa gan inafaa zaidi?

Natumai tutawasaidia wenzetu
Dawa inaweza kupatikana ila kama ambavyo waliochangia mjadala huu. Wengi kati yenyu. Mnakuja na kejeli nyingi na mengine mnafwata ushauri wa watoa maneno bila sulihisho. Tiba inaweza kupatikana kutatua tatizo lako hilo. Lakini Ni lazma ujipange vizuri kiankili na kifedha. Kwakua Tiba ni endelevu zaidi ya siku 120 Utaondekewa na hilo tatizo kwa njia za kiasili na bila madhara. Kwa masharti hilo tatizo unaolilamikia umri wako usizidi miaka zaidi 47. Njoo ntakusaidia.
Wabillah taufiq....
 
Dawa inaweza kupatikana ila kama ambavyo waliochangia mjadala huu. Wengi kati yenyu. Mnakuja na kejeli nyingi na mengine mnafwata ushauri wa watoa maneno bila sulihisho. Tiba inaweza kupatikana kutatua tatizo lako hilo. Lakini Ni lazma ujipange vizuri kiankili na kifedha. Kwakua Tiba ni endelevu zaidi ya siku 120 Utaondekewa na hilo tatizo kwa njia za kiasili na bila madhara. Kwa masharti hilo tatizo unaolilamikia umri wako usizidi miaka zaidi 47. Njoo ntakusaidia.
Wabillah taufiq....
Mawasiliano yako mkuu
 
Back
Top Bottom