Dada sky sasa mbona huwa mnawacheka na kuwadharau? Wengine mnawaacha kabisa, kwanini iwe hivyo?Mungu aliumba uume ili usafirishe mbegu kwenda kwenye mji wa uzazi. Kama hayo yanafanyika kwanini ujipe pressure, tafuta atakae ikubali hali yako.
Si waelewa hao wanao kuacha kwa maumbile aliyokuumba Mungu. Au labda ulimletea dharau kwa mengine akaamua kukutusi.Dada sky sasa mbona huwa mnawacheka na kuwadharau? Wengine mnawaacha kabisa, kwanini iwe hivyo?
Hahahaaah! Jomba utaua watu...Issue hapa sio ukubwa au udogo. But how u can kick it. Mimi dawa naijua, ila ukiitumia inakuza viungo vyote kuanzia pua, masikio, na matiti. Nikupe ukiota maziwa kama wadada sawa. Pua ikiwa kubwa fresh na masikio yakifia ya sungura uikubali hiyo hali maadam dushe nalo litakuwa limeomgezeka.
Umewapa watu moyo mkuu,ubarikiweMungu aliumba uume ili usafirishe mbegu kwenda kwenye mji wa uzazi. Kama hayo yanafanyika kwanini ujipe pressure, tafuta atakae ikubali hali yako.
Ngoja wataalam waje mkuu.
Basi kwenye ule umbea wenu wa saluni muwe mnawatetea wanaume wanaosemwa kwa vibamia vyao... Kuna jamaa kanusurika kujiua kisa kusemwa mpaka na kitoto cha darasa la 7 kilichomaliza juzi tu hapoSi waelewa hao wanao kuacha kwa maumbile aliyokuumba Mungu. Au labda ulimletea dharau kwa mengine akaamua kukutusi.
Yaani kama kengele zile za kanisani
Nae ni Fataki kitoto cha darasa la saba alikivulia nguo!Basi kwenye ule umbea wenu wa saluni muwe mnawatetea wanaume wanaosemwa kwa vibamia vyao... Kuna jamaa kanusurika kujiua kisa kusemwa mpaka na kitoto cha darasa la 7 kilichomaliza juzi tu hapo
Sio kwamba alikivulia nguo... Kilisikia saluni anakoshinda mama yake. Sasa mdau yupo anakatiza kitaa mida ya saa moja ucku akakakuta katika mazingira tata ikabidi ahoji kanafanya nini pale ndo akajikuta anaaibika mpaka watu wakamchekaNae ni Fataki kitoto cha darasa la saba alikivulia nguo!
Shida siyo kwamba watu hatutaki kutoa misaada kwa wenye hali kama hizo. ishu ni kwamba nyinyi mpo na utayari wa kiasi gani..Kuna nyuzi nyingi sana zimeanzishwa humu watu wakiomba msaada wa kusaidiwa kuondokana na tatizo la uume mdogo. Lakini hakuna hata msaada zaidi ya kukejeliwa na kuchekwa...
Kuna walio na tatizo hilo toka wadogo na wengine kujikuta uume unasinyaa ukubwani... Watu wanasema apime ukiwa umesimama, nami nasema ukikiangalia kidole chako cha mwisho cha mkononi ndo urefu halisi wa hivyo vibamia vikiwa vimesimama imara
Sasa wenzetu wanavyoomba msaada tuwe tunawaelewa na kuwasaidia upatikanaji wa hizo dawa na si kumcheka au kukejeli
Basi wale wanaoweza kusaidia tiririkeni hapa watumie nini au kuna dawa gan inafaa zaidi?
Natumai tutawasaidia wenzetu