Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 49,042
- 54,333
Inahitajika( bell) kengele kubwa hasa hasa kama zile zinazotumiwa na makanisa hasa makongwe.
Anayejua upatikanaje wake hapa tanzania anijuze maana ina matumizi mengi. Hata ikiwa ni nje ya nchi tafadhali nijuze ni kengele zinazotengenezwa nchi gani ni imara, madhubuti na zina mlio mkali.
Hapo kwenye mlio nadhani wataalam watanijuza nikiipata niifunge urefu gani kwenda juu (yaani mnara nikaoujenga kuweka kengele)
Ili nitakapokuwa naipiga yale mapigo ngo ~ngo~ngo!!! Yasikike eneo kubwa sana mji, picture ya chuma kama hili.