Mwenye softwares hizi tafadhali

Mwenye softwares hizi tafadhali

muggyen

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
347
Reaction score
254
Habari zenu wana jf
Mwenye software hizi adobe photoshop, indesign na illustrator zote zikiwa cs7 au adobe office cs7
Ziwe burnt au original disks ani pm tufanye biashara
 
Au mwenye kujua wap twaweza pata
 
Nenda kwenye hii site kat.ph alf uta search unachotaka una download 4 free bundle lako 2
 
Iyo site naijua mkuu
Naomba unisaidie nifanyaje niweze kudwnlod
Utorrent ipo na huwa natumia bundle ya vodacom ile ya wajanja nite ila nkitaka kudwnlod inachukua muda sana mpka nakata tamaa kabxa yanj torrents zinansumbua
Nahitaji sana hizo softwares
Ni za educational purpose
 
Mm sina hata moja. Ila kama upo tayari kulipia gharama za bando basi nitakusaidia. Call 0779420000
 
Ina bidi utumie magnet link muggyen kuna kialama kama ki U imegeukia chini ndo magnetic link hiyo
 
Kwani ukitumia magnetic link ndo inakuaje naomba nifahamishe
Nahisi elim iyo Sina
 
Utaweza kudownload hizo software zako bila kulalamika kwamba inachukua mda mrefu
 
Angalia iyo picha nmejaribu kudownload from kat.ph the magnetic lnk lakini hicho ndo nlichopata
 

Attachments

  • 1397274677417.jpg
    1397274677417.jpg
    34.1 KB · Views: 84
Kwann uc2mie pc mzazi au kama ni i4ne yako 2mia opera mini ndo site inafunguka utamu
 
Habari zenu wana jf
Mwenye software hizi adobe photoshop, indesign na illustrator zote zikiwa cs7 au adobe office cs7
Ziwe burnt au original disks ani pm tufanye biashara

Nipo na cs5 na cs6. Ila ni za MAC
 
Ila naona nbadlshe isp ntafute hela ninunue smart 4g
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom