Mwenye sifa hizo anitafute

Mwenye sifa hizo anitafute

scientificall

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2015
Posts
460
Reaction score
360
habari zenu wana jamvi natumaini wazima wote natafuta mtu wa kupanga nae geto maeneo ya malimbe mwanza karibu na saut kwani ndo naenda anza mwaka wa kwanza jinsia yangu ni (me) lakini nataka kukaa na mwenye sifa zifuatazo: 1 awe anachukua corse ya BAED
2.jinsia kama yangu (mmboy)
3.asiwe mrevi wa aina yoyote.
4.awe tayari kwa kushirikiana nami (asiwe toz)
5.awe anajua nini kimemuleta chuo
6,awe na umri usiozidi 21.
7.awe mkarimu na mwenye busara kama msomi
8.awe mwenye kumtegemea mungu katika mambo yake.
9. asiwe mjuaji sana aani asijione yeye anajua kuliko
10. asiwe mwenye kushoboka sana kwa watoto wa kike kivile
NOTE mimi mwenyewe nina sifa hizo
kwa aliyetayari antafute kwa contact 0758323543.,0674743890. please hata kama una rafiki au ndugu ana sifa hizo anitafute pia hata kama sio mwenyeji wa mwanza naweza msaidia kwa hilo. nawasilisha.
 
Wewe ndo una shida halafu unaandika litania ya vigezo!huwezi kupata wa kufanana naye,lazima ujifunze ku handle madhaifu ya wenzako,na hu ndo usomi
 
sio kwamba nnashida ni compan tyuu ikishindkana naish alone
 
habari zenu wana jamvi natumaini wazima wote natafuta mtu wa kupanga nae geto maeneo ya malimbe mwanza karibu na saut kwani ndo naenda anza mwaka wa kwanza jinsia yangu ni (me) lakini nataka kukaa na mwenye sifa zifuatazo: 1 awe anachukua corse ya BAED
2.jinsia kama yangu (mmboy)
3.asiwe mrevi wa aina yoyote.
4.awe tayari kwa kushirikiana nami (asiwe toz)
5.awe anajua nini kimemuleta chuo
6,awe na umri usiozidi 21.
7.awe mkarimu na mwenye busara kama msomi
8.awe mwenye kumtegemea mungu katika mambo yake.
9. asiwe mjuaji sana aani asijione yeye anajua kuliko
10. asiwe mwenye kushoboka sana kwa watoto wa kike kivile
NOTE mimi mwenyewe nina sifa hizo
kwa aliyetayari antafute kwa contact 0758323543.,0674743890. please hata kama una rafiki au ndugu ana sifa hizo anitafute pia hata kama sio mwenyeji wa mwanza naweza msaidia kwa hilo. nawasilisha.

OMBA RADHI kwa wanajukwaa. Sijawahi fikiria kukutana na post kama hii Jf.. Umewaza nini? Ulifikiri kabla ya kutenda?
 
duuh! kwel biashara ni matangazo.. are u a g(*_*)y
 
utamlipa Sh Ngapi?. Alafu mbona una complicate mambo ndg yangu!. Nenda mtakutana huko huko ila haya masharti hayafai kwa mtu kama wewe. Hakuna kiumbe kilichokamilika vitabia vingine mtarekebishana ndani ya geto mdogo mdogo, mbona hata Kanisani au Msikitini watu wanaingia hata Walevi, Wazinzi, Wachawi etc lakini mbeleni wanabadilika wanakuwa viumbe watiifu. Nakutakia kila laheri, mm nakumbuka nikiwa nasoma Moro nilipewa chumba cha watu wanne chuoni lakini nikapangiwa kukaa peke yangu room yote kwa mda wa semester mbili bahati nzuri nikabahatika wadau wakawa wanakuja tunanya discussion room kwangu. So usiogope kuwa peke yako
 
Nikajua nafasi za kazi dah..kweli kuna watu hamjari hisia za wenzenu
 
panga peke yako tu ndo utafurahi ukipanga na mtu na kuna utofauti tu
 
acha ushamba af ukiambiwa kilaza unalalamika hakuna aliye mkamilifu ukiwa mwalimu cjui ata hao wanafunz utawafundisha nin stupid........!!!!!!
 
Mi natafuta room mate IAA tupanbe pamoja km upo nicheki whatsap 0659749219
 
habari zenu wana jamvi natumaini wazima wote natafuta mtu wa kupanga nae geto maeneo ya malimbe mwanza karibu na saut kwani ndo naenda anza mwaka wa kwanza jinsia yangu ni (me) lakini nataka kukaa na mwenye sifa zifuatazo: 1 awe anachukua corse ya BAED
2.jinsia kama yangu (mmboy)
3.asiwe mrevi wa aina yoyote.
4.awe tayari kwa kushirikiana nami (asiwe toz)
5.awe anajua nini kimemuleta chuo
6,awe na umri usiozidi 21.
7.awe mkarimu na mwenye busara kama msomi
8.awe mwenye kumtegemea mungu katika mambo yake.
9. asiwe mjuaji sana aani asijione yeye anajua kuliko
10. asiwe mwenye kushoboka sana kwa watoto wa kike kivile
NOTE mimi mwenyewe nina sifa hizo
kwa aliyetayari antafute kwa contact 0758323543.,0674743890. please hata kama una rafiki au ndugu ana sifa hizo anitafute pia hata kama sio mwenyeji wa mwanza naweza msaidia kwa hilo. nawasilisha.

We Taira kweli 👹
 
Hizo sifa labda huyo mtu umuumbe mwenyewe
 
unatafuta mume au rum mate?

Similar Discussions

Back
Top Bottom