Mwenye shida ya vocha ya Tigo

Tuma buku nitakurudishia boom ikitoka mkuu
 
Usipate shida Mrembo, nitumie namba yako nikutumie buku kumi ukapate lunch na wala sihitaji vocha maana mimi simu zangu zote ni post paid
 
Usipate shida Mrembo, nitumie namba yako nikutumie buku kumi ukapate lunch na wala sihitaji vocha maana mimi simu zangu zote ni post paid
.....ndo namalizia kumsajilia line nyingine hapa akutumie;
.just in case
 
Daah! 10,000 umekuja huku ungenunua laki ungeenda IKULU.
Weka namba upate muamala na iyo vocha baki nayo ila kama wewe ni wa mkoani.
 
dm ni nini?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] jamani niko serious
....khaaa.,we ndo hauko serious!..bado kumbe hujatuma namba tu?....acha woga,shuka lile la mmasai umepewa ofa na Mtambuzi;na vocha unabaki nayo!
.....upendweje sasa tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…