Wakuu najua humu kuna wapishi.... Tafadhali tujuzeni mwaka huu tutegemee mabadiliko ya mishahara kwa watumishi wa UMMA au tuendelee kusubiri awamu ijayo? 2020-2025?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.