Mwenye private jet pekee Tanzania nzima

Mwenye private jet pekee Tanzania nzima

Kim Jo Ngil

Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
45
Reaction score
17
Anajulikana kama Kinje mtoto wa mwanasiasa mkongwe nchini Mzee Kingunge akiwa na familia yake kabla ya kuruka katika ndege yao binafsi kama wanavyoonekana kwenye picha.

Naomba wafike salama maana injini kama mbovu vile hehehe.
 

Attachments

  • king.PNG
    king.PNG
    134.6 KB · Views: 12,858
Ubungo gate collections hiyo!bila kusahau ile biashara yake maarufu ya kinondoni mwananyamala
 
Mbona ata Lamar wa fishcrab jirani na klabu ya yanga anao , au ajanunua bado?
 
Super Mogul you know ha ha ha ha ha ha ha haaaaa Le big show kwa kujikomba kwa Mapedejheee.

attachment.php
 
Hiyo ni chartered jet aisee! Hata maelezo ya picha hayaonyeshi kama wao ndio wamiliki. Ila wapo waTZ wenye uwezo wa kumiliki ndege. Tatizo litakuja kwenye infrastructure ya viwanja. Ni mikoa michache yenye viwanja vya uhakika!
 
Nimezama kwenye hii tovuti mbona haifunguki mkuu
Hiyo kufunguka ni kwa hisani ya Kije na mzee wake Mkuu kweli maisha haya wakati tuko wadogo huyu jamaa tumekaa nae Mbeya wakati wazee wetu wakiwa madarakani serikalini kabla hawajasitahafu lakini mwezangu katusua kama wasemavyo watoto wa mjini ha!ha!
 
Back
Top Bottom