FREE LUNCH
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 495
- 334
Dhambi kubwa sanaPoli wametulia tulii.
Hapo ningekuwa ndo mie yaani tayali nshapigwa virungu mpaka adabu inishike.
Nimeamini umasikini ni dhambi isokuwa na toba.
haibu=AIBUPicha ya uwanja wa Taifa(Manji) hao wengine Kisutu hapo.. Mnaleta haibu JF
Hapo ni uwanja wa taifaPoli wametulia tulii.
Hapo ningekuwa ndo mie yaani tayali nshapigwa virungu mpaka adabu inishike.
Nimeamini umasikini ni dhambi isokuwa na toba.
Hapo ni uwanja wa taifaLakini kunatofauti kubwa bado: Angalia mavazi yao. Unajua ukiwa nadhifu hata heshima inakuja yenyewe lakini ukivaa kihuni kihuni kwa makosa watakuhesabu ni muhuni.
Sykolojia inatambua fact hii Kwamba "Mavazi huongea Waziwazi".
Hapo ni uwanja wa taifa game ya yangaPesa mbaya sana, hao polisi mmoja kaweka mkono shavuni mwingine ndo hana hamu kabisa
Acha kukurupukaWenye nchi wanapigishwa magoti na kuchuchumishwa kama ngedere hala mkoloni anapewa haki zote!
Acha kukurupuka
Manji hapo yupo uwanja wa taifa game ya yanga
Halafu hao polisi hawamlindi manji Bali wanalinda usalama wa uwanja
Acha kujifanya unajua mambo wewe. kubwa jing* nani kakurupuka?Acha kukurupuka
Manji hapo yupo uwanja wa taifa game ya yanga
Halafu hao polisi hawamlindi manji Bali wanalinda usalama wa uwanja
Acha woga my,maisha haya uwezi kujua kesho yako itakuwaje tokea "mungu" achukue nchi.Mkuu mimi simo.
Tupo hapa Central tunakusubiri, Kamanda Siro anatukurupua hapa.Mleta post naomba nikukute central.
Mkuu mimi simo.